Mwasita Moja
JF-Expert Member
- Dec 31, 2015
- 2,903
- 2,580
Kumbe wangeshida majizi Chadema wafabiashara wasingetozwa kodi.??ACHA KULOPOKA!KUHUSU SUALA LA KUONGEZA KODI LIMELETA ATHARI KUBWA KTK BIASHARA HADI WAFANYABIASHARA WA CHINI KUUMIAAA......
Kumbe wangeshida majizi Chadema wafabiashara wasingetozwa kodi.??
Kwa hiyo mngeipuuza sheria ya kodi??
Asante Mungu kwa kutuepusha na Mafisadi
shem = Shame
Kidogo anajitahidi Lukuvi au mnaonaje?Busara ni bidhaa adimu kwa viongozi Wa awamu hii, nitajie Kama unamjua mwenye busara Kati yao
Usijali mkuu tuko pamoja.Asante Mkuu ulikuwa unaniangusha sana kutetea kukanyangwa katiba na sharia za nchi kunakofanywa na mtukufu wetu Rais. Kiukweli na kiutu hatuwezi kui- compromise katiba na sharia za nchi kwa sababu yoyote ile.
Labda alikuwa anamaanisha "Shemeji" maana naona ameandika "Shem" badala ya Shame. Mwambie inatakiwa kuwa "Shame on you" na si "Shem to you". Hizi shule za kata ni majanga tu.Shame to you ndo nn?? Andika kiswahili hizi ni lugha za watu achana nazo.
Labda alikuwa anamaanisha "Shemeji" maana naona ameandika "Shem" badala ya Shame. Mwambie inatakiwa kuwa "Shame on you" na si "Shem to you". Hizi shule za kata ni majanga tu.Shame to you ndo nn?? Andika kiswahili hizi ni lugha za watu achana nazo.
Kitendo cha waziri wa afya kukosoa na kurekebisha kauli yake ni aibu kubwa...tena ametumia kauli mbaya na tusi..""rais alikuwa anatania"" hiyo ni kejeli na dhihaka kwa raisNi kama anaonekana akikosolewa 'ataaibishwa'
hajui kukosolewa ni 'lazima' nyakati hizi
Hata akigawa chakula bure kwa Watanzania
kumkosoa hakuepukiki
Kama hamjaenda shule yanini kijitutumua? Sasa Shem nani shemeji yako hapa.Chadema mnatapatapa sana.
Kila saa Magufuli Magufuli hakauki midomoni mwenu.
Shem to you
hivi kwa nini tunasema polisi, raia au wananchi. kama polisi wanapewa vitambulisho vya uraia na wao si ni raia? kama mvua inyeshavyo kwa watu wote fujo pia huwasumbua watu wotePolisi mishahara hawajaongezwa
na wakienda madukani wanakuta bidhaa zimepanda kisa kodi kuongezwa
na wao 'watamchukia' kimoyomoyo
Unakumbuka wakati wa kampeni kuna siku alipitia juu ya roof ya gari??.. Tangu siku hiyi nikajua huyu hana subira wala tafakar kabla ya kusemaHajui siasa kabisa na hana washauri
Shame ON you.Chadema mnatapatapa sana.
Kila saa Magufuli Magufuli hakauki midomoni mwenu.
Shem to you
Mwasita Moja njoo huku hawa watu wanajidai eti umekosea kuandika "Shem to you" njoo uwaoneshe kazi kina Luggy kivyako multiphill90 Shark lusungo[/USERe @Rebeca 83 na [USER=120757]Sputam kwamba wewe ni mkali wa Lugha hii iliyowashinda wao!![/USER]
Hahaha.......daaahhh wa bongo ni shida wanafungisha goli halafu wanasema sare.....ogopa sanaPolisi wenyewe wa digitali hawa, hawakawii kuuza mechi au kuweka mpira kwapani na kukimbia! Nimejisemea tu