Magufuli ana pozi la kinyenyekevu

Magufuli ana pozi la kinyenyekevu

Red Giant

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2012
Posts
15,650
Reaction score
21,014
jpk3.jpg
 
Kikwete kiatu kimeishaje soli wakati alikuwa anaishi kwenye Ndege?

Halafu kwa nini Diamond alivaa Sendo ya kike?
 
rais wetu ni mtu wa bashasha sana!

by the way,what does this word 'bashasha',means?.

humble,honest presdent we got here
 
Kikwete kiatu kimeishaje soli wakati alikuwa anaishi kwenye Ndege?

Halafu kwa nini Diamond alivaa Sendo ya kike?

Kwani Anapoenda Kupanda Ndege Huwa Anavua Viatu Na Kuwa Pekupeku? Sandals Hiyo Ya Diamond Ni Ya Kiume Kabisa ILA Ukiwa Umeshazoea Kuvaa " Kandambuga " Basi Hata AKILI Nazo Huwa Ni Za KIKANDAMBUGA KANDAMBUGA Tu.
 
Tulibahatika kuwa na Rais Msanii, Wasanii Walinufauka sana na watu Wanyoofu Walilionya Joto la Jiwe. Duuuh...
 
Kikwete kiatu kimeishaje soli wakati alikuwa anaishi kwenye Ndege?

Halafu kwa nini Diamond alivaa Sendo ya kike?

Disco jamaa anacheza chakacha mbaya soli lazima inoleke.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom