Magufuli amekosea wapi, mbona 'anachuja' haraka?

Mwananchi wa kawaida hanufaiki na utumbuaji majipu,kama sukari kilo ni 6000/= vipi huyu ataweza kumudu kunywa hata chai kikombe 1 aianze siku yake?sioni unafuu wowote katika maisha ya kawaida ya mtanzania,sijui labda huko mbele tuendako,kwenye daladala watu wameshaanza kuongea hovyo.
 
Kikombe cha chai kwa mama lishe tsh 400,chai kavu
 
Mpumbavu na lofa ni yule anayefikiria siasa za kiitikadi muda wote badala ya kuona hoja za wenzake. Sasa hapa nani kamshambulia?
 
Jpm hashauriki kwan ni mbabe anajifanya anajua kila kitu,kias kwamba hakuna wa kumshaur labda usalama wa taifa tu.
 
Anakumbatia chama na ndio kinachomuangusha. Na akipewa na uenyekiti ndio itakuwà basi, maana ataanza kujipanga kwa ajili ya 2020.
 
Nchi haiendeshwi kwa mawazo ya mtu mmoja. Nchi inaendeshwa kwa kuwa na good policies and good institutions.
 
Jamaa,kapoa saana.mpka,namuhurumia,,,siku ile ameshtukiza airport nlitegemea mtu atumbuliwe..maana yule maza alimdanganya lkn hakufanya hvo.asa nkajiuliza,mbona Mama Kilango alidanganyq na yy lkn akatumbuliwa
 
Tutafanyaje.Hapa kazi tu
 
Umeongea ukweli mtupu.
 
Kwa mtazamo huko mbele mtoa mada nchi yetu itakua na neema. Mhe rais ana maono mazuri na nchi hii.
 
_Iramba said:
kutaka kukibeba chama cha mapinduzi,ndiyo gharama kubwa aliyeifanya mpaka kupoteza umaarufu wa kisiasa!
Ni kweli Mayu,huyu jamaa Hakujiandaa kuwa.kiongozi mkuu. Hii inadhihirisha kwa kukosa malengo,shabaha na afua za kuitoa nchi ilipifikia!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…