Wewe mleta mada ni pumbavu sana. Eti umefika Manhattan 2002 ukajiona umemaliza kabisa. Watu wameanza kufika huko USA na Europe early 60s, 70s,80s wakafanya kilichowapeleka na kurudi kujenga nchi Tanzania. Vijana Kama wewe mlioenda Marekani kwa Scout na Camp Mna matatizo sana. Status yako ikoje hapo ulipo!!?? Ulipofiwa uliweza kurudi Bongo!? Acha ulimbukeni kijana. Mh Rais haihitaji exposure kwa kuja Manhattan au Chicago...After all sisi Watanzania tunahitaji Maendeleo na huduma bora za Afya na Jamii kwa kila Mtanzania. Hayo mambo ya Exposure peleka Big Brother au kwenu Mpitimbi. Bado unatongoza visichana vya Chuo Facebook kwa kutumia Exposure ya kufika manhattan mwaka 2002!!!!???? Ama kweli Ushamba mzigo!!!
Jk yeye alikua ka ndege angani na kula bataz had kubembea
Jk yeye alikua ka ndege angani na kula bataz had kubembea kah magufuli akomae na huku ndani
Na JK ulikuwa unamfagilia safari zake ilikuwaje ??AU wakati ule Chumvi na sukari ilikuwa inapatikana nje ya nchi??
😀Labda awe na Mtafsiri karibu.
Mwacheni baba wa watu awatumikie waTanzania kama alivyowaomba!
Exposure........exposure my foot! Kikwete aliyekuwa na exposure ya Foreign for Ten years..ametufanyia nini? Zaidi ya kufanya nchi yetu ikawa shamba la bibi? To be honest......I see Magufuli as the Right man for the job!
Kuna jamaa amekuja kikaz apa ofisini kutoka Botswana..Jamaa ka prove ilo,diamond ndo engine ya uchumi wao...hata pesa yao ipo juu sabab ya diamon...Alipotua JKNIA,taxi driver akamwambia sh elfu 75 had hotel..jamaa alipoconvert kwa hela yao akakuta ni hela mbuzi sana...had alishangaa sana,yaan ni sawa na alipand bure taxiAende Botswana kuna Rais wao aliyepita Quett Masire yule aliwakomalia wazungu ,50/50 kwenye diamond na hawalimi wala hawavuni diamond huwalisha
Wewe akili nyingi zinazidi kichwa chako , hongeraThat makes two of us; kwa sababu na mie nakuona wewe kama kipofu mbumbumbu maana kuna vipofu wana akili kweli kweli; zinachaji haswaaa; lakini wewe; mmh; tinkumanya!
Mkuu,anavyoonekana huyu hata mke wake akiona hamridhishi anaweza kumshauri akapate expossure nje ya ndoa.Rais wetu anajua matatizo yetu. Yaani kutatua matatizo ya ndani ya nyumba yako mpaka uende kwa jirani? Mathalan ndani hakuna chumvi wala sukari na chanzo cha ukosefu huo unakijua kuwa mkeo anachepusha matumizi ya lazima na kupeleka kwenye upatu. Hapo bado unahitaji msaada wa jirani?
Ok lets assume ur right..Sasa ni mfumo gani kaja nao wenye lengo la kuitransform hii elimu yetu ili tuwez kuzalisha hao wataalam competitive na innovetors kama walivofanya wenzetu Singapore...Kwahyo aende US, China kufanyaje labda zaidi ya kutembeza bakuli. Bila kujijenga ki ndani na kuimarisha mambo ya ndani ka elimu, miundo mbinu hata ahamie China nothing will change sasa nyie waumini wakuwa dependence ndo mnataka awe mzururaji mbona mlikuwa MNA mnanga mkwere
Kwa mara ya kwanza umeongea point, hata kwetu bukoba watu walikuwa wanakuja kujifunza maendeleo hasa wa musoma lakini wakama hawakuwahi kwenda nga,mboRais wetu anajua matatizo yetu. Yaani kutatua matatizo ya ndani ya nyumba yako mpaka uende kwa jirani? Mathalan ndani hakuna chumvi wala sukari na chanzo cha ukosefu huo unakijua kuwa mkeo anachepusha matumizi ya lazima na kupeleka kwenye upatu. Hapo bado unahitaji msaada wa jirani?
JPM kasomea UDSM kuanzia bachelor mpaka PHD kama ujuavyo wanasayansi huwa hawafuatilii historia au masuala ya geography kivile kama watu waliosoma sheria,Arts na Economics,Kwani Mhe, Magufuli Masters yake aliipata wapi? Mimi sijasafiri kwenda nchi yeyote ile, lakini najitahidi kuufahamu ulimwengu kwa njia ya Internet. Tuseme Mhe. Magu naye haijui kutumia mtandao!
Unafikiri marais wote wanaoenda nje wanaenda kupiga picha na 50cent au kushangaa maghorofa kama msoga?Nimesomaa yooote ili nipate point ya unachokizungumzia nikakosa!
Maraisi wenye exposure kama mzee wa anga (waliopita) walileta kitu gani extraordinary?
Unahitaji sana msaada wa jirani ili ujishape!Rais wetu anajua matatizo yetu. Yaani kutatua matatizo ya ndani ya nyumba yako mpaka uende kwa jirani? Mathalan ndani hakuna chumvi wala sukari na chanzo cha ukosefu huo unakijua kuwa mkeo anachepusha matumizi ya lazima na kupeleka kwenye upatu. Hapo bado unahitaji msaada wa jirani?
interlucustrine region hasa bukoba abakama walikuwa exposed na batusi nenda karagwe wale wanyambo ni watutsi kabisa ,fuatilia historia ya watutsi utajua kuwa wametoka wapi,washobokerwa mbwenu,Kwa mara ya kwanza umeongea point, hata kwetu bukoba watu walikuwa wanakuja kujifunza maendeleo hasa wa musoma lakini wakama hawakuwahi kwenda nga,mbo
Kwa propaganda sawa..lakini aliyofanya kikwete bado kufikiwa na yoyote...hapa y unazungumzia ajira, ukuuaki wa uchumi , ongezeko la wasomi, uhuru wa kuongea , uwekezaji na kadhaliaka...
Alijitahidi kuanzisha mipango madhubuti na kuwa na vision ambayo kama yatafatwa basi nchi itavuka..hakuweza kuyamaliza ila ameacha mipango mixuri
Barabara sehemu kubwa
Ameacha uoanuzi wa viwanja vyetu vya ndege
Muhimbili imepanuliws kwa kujengwa Moi mpya , wodi ya watoto, na moyo . Pia chuo kikuuu cha muhimbili kinajengwa.
Big results noe no mmoja ya ubunifi mzuri
Kilimo kwanza kumesaidia kuwa na akiba kubwa ya chakula
Ujenxi wa vyuo vikuu zaidi
Sasa hivi tunakusanya kodi zaidi..lakini kama mipango mizuri haikutandazwa basi hizo kodi zisingekuwepo.....na tufahamu kikwete aliingia kodi inakusanywa 120b kwa mwezi na kufikia 960b alipoondoka.
Tunahitaji kuona mambo kama haya yakienda samba mba na utumbuaji majibu
bado AirTanzania watafukuzwa wengi muda si mrefu,mi nadhani badala yakuwapotezea ajira hawa wa ATC wanunue ndege ili wapate cha kufanyaTangu Mkwere ameondoka wangapi wamepoteza kazi including wa jana Nida na bado wataongezeka. Huwezi ongeza nafasi za kazi bila tija! Unajenga barabara unawaleta wachina mpaka mpishi na mfagiaji anatoka kwao je hiyo ni fursa sawa??? Kwanini kusiwe na condition za kuleta watu kwenye miradi na kama walisign hiyo miradi ya kuleta wapishi toka china, kwa nini wasifanye vile kwa mashirika yote ya kigeni? Mbona ndugu zetu wanajipatia kazi za ulinzi, upishi gardening toka kwa wageni toka nchi nyingine but not china??? Kaka Pombe fika kwenye makampuni yote ya wachina fukuza wapishi, wafagiaji, walinzi, wauza mitiumba kariakoo na tuone kama vijana wetu hawatapata ajira. Umeongelea uchumi kuongezeka wewe unaishi wapi? Nenda vijijini watu waliokuwa wanaweza kununua samaki mmoja kwa siku mbili ziwa Victoria, wanaishia kula dagaa. Samaki wanakwenda Ulaya. Waliposema mapank mkaaandamana mkasema uongo, tunaomba mwende tena muuliza wangapi wanaweza kutumia kitoweo hicho vijijijini? Tulikua tunakula samaki sasa hivi ni watoto kiduchu wanaojua samaki wanaaina ngapi!!!!!!
ilikuwa miaka hiyo nilienda kutembea muda mfupi tu but tongotongo zilinitoka ,sie bado tuko nyuma sana kimaendeleo na technologyKwa ufupi tu, tangia umeenda huku manhatan umeisadiaje jamii yako uliyo iacha pale kijiweni manzese? Au ndio kuwatumia picha.za mademu wa kizungu?