Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,339
- 120,845
Wanabodi,
Rais Dr. John Pombe Magufuli, amefanikiwa sana kukamata attention ya Watanzania, baada ya watu kujua leo anahutubia siku ya wafanyakazi, then kila sehemu, kwenye bar, majumbani, kwenye magari, kwenye usafiri wa umma, kote ama wanasikiliza live ya Mei Mosi kwenye luninga au kwenye redio, sio ili kusikiliza tuu Magufuli atawaambia nini Wafanyakazi wa Tanzania na haswa kama atawapatia kiwango cha chini cha TZS 750,000!, bali kufuatia umaarufu wa Magufuli kwenye tumbua tumbua, kuna wengi wanashauku kubwa ya kumsikia leo atamtumbua nani!. Kinachompa Magufuli extra ordinary attention ni matumaini mapya na imani mpya Watanzania waliyonayo kwa rais Magufuli, kuwa kila akiongea, there is always something new!.
Wakati rais Kikwete akizungumza live, sijui kuhusu kwa wengine, lakini kwangu tulikuwa tunagombana na familia, wengine tukitaka kumsikia rais wetu huku wengine wakitaka kuangalia marudio ya tamthilia ya Isidingo na ikiisha, wanahamia kwenye Telemundo na sio kwenye hotuba ya rais, kwa sababu there was nothing new kwao, japo kwangu hotuba za Kikwete zilijaa the sense of humor, za Magufuli ni fire in his eyes, but fear in his heart
All the best rais wetu, John Pombe Magufuli kukamata attention ya Watanzania wote wakiwemo wana UKAWA hadi wana CUF!.
Tunashauku ya kukusikiliza kwa makini!.
Mimi namsikiliza, vipi kuhusu wewe?!.
Paskali

Miongoni Mwa Mazuri ya Kikwete: "Has Good Sense of Humour"
Wanabodi, Naangalia TBC Live, Rais Jakaya Kikwete yuko hewani! Miongoni wa mazuri ya JK, ni having a good sense of humour, akiongea, huchoki kumsikiliza!. Alipokuwa akiongelea kilimo cha ndizi kijijini kwao Msoga, Bagamoyo, akasema wakulima wana bananisha migomba mingi kwenye shina moja, matokeo...
www.jamiiforums.com