- Thread starter
- #21
maslahi gani ya taifa kwa kutumia sheria batili hapo wizarani kwa miaka zaidi ya 10Acha Upimbi, watu tunaangalia maslai ya Taifa kwa ujumla we unaleta siasa.

utatimiza vipi wajibu kama kwa miaka zaidi ya 10 unatumia sheria feki?Kumbe siku hizi mtu akitimiza wjibu wake yampasa kujiuzulu?
Slaa na mbowe wamechakachua katiba ya chama wamekemewa sana na watu mbona hawajajiudhuru.
umelipwa kiasi gani kuja kumchafua mh.magufuli? Akili ya kenge kweli
...Watanabe kwa kejeli kama hizo hutapata serious discussants...nimefarijika sana kuona kuwa wale wasahabiki, wapenzi na die hrds wa Mhe Magufuli kidog kidog wanaanza kuutambua ukweli kuhusu alivyoweza kukumbatia na kutumia sheria feki Highway Ordinance Cap 167 kwa miaka zaidi ya 10. Kitendo chao cha kuukacha mjadala huu ni uthibitisho tosha kuwa wameelimika vya kutosha juu ya umuhimu wa kila mmoja wetu kutafuta na kujisomea sheria mbali mbali badala ya kupokea kutoka kwa watu wanaoziimba kama kusuku.
...Watanabe kwa kejeli kama hizo hutapata serious discussants...
...have or haven't?All along they have been serious at all
Sijiuzulu ng'o!
Sent from my BlackBerry 8900 using JamiiForums
Wengi wetu tumekuwa tukijiuliza ni kwanini Mhe John Magufuli anakosa ujasiri wa kujiuzulu hata pale wakubwa zake wanapoonyesha dhahiri kutofautiana naye hadharani kimsimamo na kiutendaji. Leo makala moja katika gazeti la Mawio Toleo Na 0067 la Oktoba 31-Nov 06, 2013 limeweka hadharani miongoni mwa sababu hizo kuwa ni matumizi ya sheria "batili" licha ya majigambo yake ya miaka zaidi ya 13 kuwa anafuata sheria.
Katika video zilizoambatanishwa Mhe John Magufuli anaonekana alikidanganya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakati akijibu hoja za makadirio ya wizara yake na pia katika kujibu maswali ya wabunge mmoja mmoja kuhusiana na suala la hifadhi ya barabara. Cha kushangaza licha ya kusema uongo bungeni, mbunge muuliza swali na wengi ambao wananchi wao wamevamiwa ardhi na makazi yao kinyume cha sheria na Tanroad kwa shinikizo la Mhe Magufuli walinywea na kushindwa kumchukulia hatua zozote za kibunge.
Aidha katika video mojawapo Mhe Magufuli anakiri kuwa mahakama ndicho chombo cha kutafisiri sheria, kwa kuwa tayari mahakama zetu zimeshafanya kazi hiyo kupitia hukumu iliyoambatanishwa. Hivyo Magufuli kama mtu muungwana na mwenye sifa ya kufuata sheria kama wengi wetu tunavyodhani hana budi kutii amri ya mahakama na kukuabli kwa hiarai yake mwenyewe na kuiagiza Tanroad ikaondoe mabango na mawe waliyoapanda mita 120 kutoka katikatia ya barabara Kuu ya Morogoro pande zote mbili.
Vivyo hivyo umefika wakati wabunge wetu wakaacha mtindo wa kuburuzwa na huyu mbabe na badala yake watumie madaraka waliyonayo kupitia kifungu 63 cha Katiba ya nchi kuhakikisha kuwa Waziri huyu anatimiza majukumu yake kwa mujibu wa sheria ziliziotungwa na bunge bila ya kuwaathiri wananchi kijamii, kisaikolojia na kiuchumi.
DR. MAGUFULI AKIFAFANUA KUHUSU HIFADHI YA BARABARA - YouTube
DR.MAGUFULI NA UFAFANUZI KUHUSU HIFADHI YA BARABARA - YouTube

DR.MAGUFULI NA UFAFANUZI KUHUSU HIFADHI YA BARABARA - YouTube[/
Nachokijua kuhusu wewe - ni kati ya waasirika wa road reserve - Morogoro Road
Muache Magufuli afanye kazi yake.
Pia nachojua Morogoro road Upana wake upo tofauti tofauti ukilinganisha na barabara zingine nchi nzima.
Pia acha kupotosha watu humu JF , ngoja nikukusanyie nondo tayari kukuaibisha!
Wengi wetu tumekuwa tukijiuliza ni kwanini Mhe John Magufuli anakosa ujasiri wa kujiuzulu hata pale wakubwa zake wanapoonyesha dhahiri kutofautiana naye hadharani kimsimamo na kiutendaji. Leo makala moja katika gazeti la Mawio Toleo Na 0067 la Oktoba 31-Nov 06, 2013 limeweka hadharani miongoni mwa sababu hizo kuwa ni matumizi ya sheria "batili" licha ya majigambo yake ya miaka zaidi ya 13 kuwa anafuata sheria.
Katika video zilizoambatanishwa Mhe John Magufuli anaonekana alikidanganya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakati akijibu hoja za makadirio ya wizara yake na pia katika kujibu maswali ya wabunge mmoja mmoja kuhusiana na suala la hifadhi ya barabara. Cha kushangaza licha ya kusema uongo bungeni, mbunge muuliza swali na wengi ambao wananchi wao wamevamiwa ardhi na makazi yao kinyume cha sheria na Tanroad kwa shinikizo la Mhe Magufuli walinywea na kushindwa kumchukulia hatua zozote za kibunge.
Aidha katika video mojawapo Mhe Magufuli anakiri kuwa mahakama ndicho chombo cha kutafisiri sheria, kwa kuwa tayari mahakama zetu zimeshafanya kazi hiyo kupitia hukumu iliyoambatanishwa. Hivyo Magufuli kama mtu muungwana na mwenye sifa ya kufuata sheria kama wengi wetu tunavyodhani hana budi kutii amri ya mahakama na kukuabli kwa hiarai yake mwenyewe na kuiagiza Tanroad ikaondoe mabango na mawe waliyoapanda mita 120 kutoka katikatia ya barabara Kuu ya Morogoro pande zote mbili.
Vivyo hivyo umefika wakati wabunge wetu wakaacha mtindo wa kuburuzwa na huyu mbabe na badala yake watumie madaraka waliyonayo kupitia kifungu 63 cha Katiba ya nchi kuhakikisha kuwa Waziri huyu anatimiza majukumu yake kwa mujibu wa sheria ziliziotungwa na bunge bila ya kuwaathiri wananchi kijamii, kisaikolojia na kiuchumi.
DR. MAGUFULI AKIFAFANUA KUHUSU HIFADHI YA BARABARA - YouTube
DR.MAGUFULI NA UFAFANUZI KUHUSU HIFADHI YA BARABARA - YouTube
wewe ni tatizo kubwa wewe yaani unasema waziwazi kwamba kushinda kesi inategemea nani jaji, wakili nk muda mfupi baada ya kuandika kwamba werema aliteuliwa kuwa jaji baada ya kutoa maamuzi in favor of magufuri alafu bado unabakiwa na nguvu za kumuita mwenzako mburula.Acha kuwa kama vuvuzela
1. Kesi ya Bausi and others ya mwaka 1997 Serikali pamoja na Magufuli walishinda Kesi hiyo ktk Mahama Kuu kipindi hicho Mwanasheria wa Serikali kwa wakati huo akiwa Jaji Werema. Kesi hiyo pia iliwahusisha kina Prof Mugongo Fimbo na wezake na nyumba zikabomolewa maeneo ya kutoka Ubungo mpaka Kimara Mwisho hata mpaka Werema akapewa Ujaji .
Pia kasome sheria ya Barbara no 13 ya mwaka 2007 unaonekana hujakaa ukaisoma vyema.
Je , pamoja na Magufuli kushinda kesi hii ulitaka pia ajihudhuru?!!
2. Kesi za Samaki - akiwa Wizara ya Mifugo na Uvuvi alikamata Wavuvi haramu na kesi akashinda, nafikiri wajua hilo!
Je, hapa pia ulitaka Magufuli ajihudhuru?!!!
3. Haya juzi kati , Magufuli kawafukuza wakandarasi wakiitwa Progressive na wakifungua kesi mahakama kuu, vile vile akashinda.
Hapa pia ulitaka ajihudhuru??!!!
Naomba ndugu nikupe pole kwa yaliyokukuta kipindi Magufuli akitekeleza majukumu yake, pengine umeathirika kwa namna moja ama nyingine.
Na pia kesi unayosema wameshinda , inategemea na usimamizi wa kesi yenyewe - kuna mambo mengi ya kuangalia hasa nani Jaji, wakili, mwanasheria etc
Narudia tena acha umbulula!
wewe ni tatizo kubwa wewe yaani unasema waziwazi kwamba kushinda kesi inategemea nani jaji, wakili nk muda mfupi baada ya kuandika kwamba werema aliteuliwa kuwa jaji baada ya kutoa maamuzi in favor of magufuri alafu bado unabakiwa na nguvu za kumuita mwenzako mburula.
Mkuu mimi si tatizo hata kidogo ila naomba nikueleweshe kama ifuatavyo:
1. Kesi yenyewe ni Kesi ya Bausi and others kesi namba 39 ya mwaka 1997.
2. Werema enzi hizo akiwa wakili mwaminifu kabisa wa Serikali - ndo hapa nikasema inategemea kina nani wanahusika ktk kesi hiyo
3. Angalia hata mjomba wake yeye Werema aitwaye Munanka alibomoa nyumba ili kupisha Ujenzi - angalia leo hii hiyo barabara inavyowasaidia mamilioni ya Watanzania! Na tena barabara hiyo inataka kupanuliwa iwe njia sita kuanzia Dar es Salaam mpaka Morogoro ( Morogoro Expresway, 200km) kama upo ktk road reserve usijenge au kuendeleza utabomolewa tu, nafikiri mushauri na huyo mwenzako (Wantabe) anaelialia na road reserve ya Morogoro road
4. Mugongo Fimbo tena professor wa Land Law pale UDSM akiwaongoza wenzake , lakini wakashindwa - hicho ndo nataka unielewe na si vinginevyo na wala usipotoshe ninachokuelekeza !
5. Magufuli ni Waziri pekee anayesimamia sheria hasa road reserve na ndo maana unaona miradi mingi inajengwa na bila hivyo ni ndoto kuyapata haya yanayotokea ya Ujenzi wa barabara mfano: Mwenge-Tegeta, Morocco-Mwenge, Kamata - Rangi Tatu ( juzi tu wameboa nyumba), barabara ya mabasi yaendayo kwa kasi n.k
6. Bila kuwa jasiri - Wizara ya Ujenzi ni ngumu sana kutekeleza Majukumu hasa ukizubaa na kufuata hizi porojo porojo za wanasiasa uchwara
7. Ndo maana utaona Magufuli mambo yake yanaenda - lakini pia huwa anawakumbusha wananchi, kama umeonewa unaenda mahakamani.
8. Mkuu mpaka hapa kama hujanielewa basi na wewe utakuwa mbulula!
Aidha, ukae ukijua watu wanakula rushwa sana sana si ajabu kuona kesi nyingi za wazi wazi kushinda kwa upande wa Serikali unakuta eti Serikali imeshindwa. Mfano kipindi kile Magufuli akiwa Ujenzi alibomoa kile kituo cha mafuta Mwanza, wale jamaa wakaishitaki Serikali na wakaja kushinda kipindi Magufuli amehamishiwa Wizara nyingine la sivyo wasingeweza kushinda, na ndo maana utaona ile sehemu waliyobomolewa walitaka kuendelea na Ujenzi wa kituo cha mafuta wakapigwa stop!!!!! Kuna kitu hapo kilienda isivyo hebu jiulize kulikoni.
Pia, kaa ukijua wabunge wote wa CCM na wale wa Upinzani wanazijua sana sana hizi sheria so Magufuli asingekuwa anavunja sheria mbele ya bunge wakimnyamazia.