.Ni lini mishahara ililipwa tarehe 15 au 20 ya mwezi unaofuata?
Mimi sikumbuki aisee kwenye utawala wa Kikwete sikumbuki nasisitiza kama kuna mtu anakumbuka aniambie.
View attachment 1831163
Akili kisoda hiziMafanikio ya Samia ni habari mbaya sana kwa Lisu maana 2025 hana chake tena.
Ccm itaendelea kupeta
Mdogo ako alishajifungua? Ushapata mjomba?Anaweza hata akajiua huyu
Ndio, kajifungua binti!Mdogo ako alishajifungua? Ushapata mjomba?
Hongera sana mjomba ake, ila nimekupa tu dislike kama we unavoipenda....Ndio, kajifungua binti!
Lakini ni IMF hao hao walithibitisha Tanzania kuingia uchumi wakati kutokana na ukuaji wa uchumi, ilikadiliwa Tz ingeingia uchumi wa Kati mwaka 2025, ikawahi miaka 5 kabla.Enzi hizo alikuwa akijisifia kwenye hotuba zake eti uchumi unakua kwa 7.3% kila mwaka! Na wakati hali ilikuwa ni tete kweli kweli, kiasi cha kufikia hatua ya kuzinguana na IMF!
Kwenye kampeni alikuja na milioni 50 kila Kijiji!!
Alitudanganya bei ya sukari eti aliikuta ikiwa tsh elfu 5 na hivyo akafanikiwa kuishusha mpaka tsh 3000!
Na ilikuwa ukimpinga tu, kesho unashangaa uko Mahakama ya Kisutu kwa kosha la uhujumu uchumi, utakatishaji fedha na kuendesha genge la uhalifu! Kesi haina dhamana, unaishia jela!
Alifurahi huyo alipoambiwa eti Tanzania imepanda na kuwa nchi ya uchumi wa kati! Dah! Miccm ilitulingishia kipindi hicho!! We acha tu!!
IMF au World Bank?Lakini ni IMF hao hao walithibitisha Tanzania kuingia uchumi wakati kutokana na ukuaji wa uchumi, ilikadiliwa Tz ingeingia uchumi wa Kati mwaka 2025, ikawahi miaka 5 kabla.
Pipo yuzd to dai inze reki.
Kwani nawe unakataa kuitwa mwongo hapa.Hakuna Rais aliyekuwa muongo na tapeli kama Nyerere. Shida humu tumevamiwa na watoto+vilaza mnaochagua kusikiliza yale mnayoyapenda.
Mimi nilijua kabisa Ni uongo Toka siku ya kwanza anatamka.Ina maama hata alipotaja idadi ya samaki waliopo baharini ,haikua kweli?
Bavicha wote wamejiunga ccm sasa hivi, full kusifu na kuabudu Samia wa ccm.
Akili kisoda hizi
Whatever IMF au World bank zote ni taasisi za mabeberu zenye lengo la kudictate uchumi wa dunia.IMF au World Bank?
Kwa miaka ya nyuma kidogo,mishahara ilikuwa inachelewa kweli. Japo si kwa kiwango hicho. Alipoingia Mkapa,mambo yakabadilika,yeye alisema mishahara itoke kabla ya tarehe 25 ya kila mwezi. Kikwete akajitahidi ila kuna wakati ilikuwa inaenda mpaka tarehe 29 hadi 30 na kwa baadhi ya Halmashauri mpaka tarehe 5.Ni lini mishahara ililipwa tarehe 15 au 20 ya mwezi unaofuata?
Mimi sikumbuki aisee kwenye utawala wa Kikwete sikumbuki nasisitiza kama kuna mtu anakumbuka aniambie.
View attachment 1831163
Kwani unateseka?Bavicha wote wamejiunga ccm sasa hivi, full kusifu na kuabudu Samia wa ccm
Mtu akifanya jema lazima apewe sifa annayostahili akizingua tutamzingua kama nwendazakeBavicha wote wamejiunga ccm sasa hivi, full kusifu na kuabudu Samia wa ccm
aliwahi kuokota vichwa vya treni