Magufuli alikuwa muongo sana

1.aliwahi sema ata ajiri watumishi wa uma baada ya kumaliza uhakiki... baada ya uhakiki akaishia kuajiri akina sabaya na Makonda.

2. Alikuwa ana aminisha watu kuwa ukochagua upinzani basi hamna maendeleo

3. Mbeya kuna hospital ya Kanisa inaitwa UWATA.. aliwa ahidi kuwajengea rami mpka hospital kwao.. mpaka leo ni vumbi tupu.

4. Ali ahidi kuwa kwenye serikali yake hataweka mpinzani hata mmoja.. siku chache tu akamuweka Ana Mghwira.

5. ali aminisha dunia kuwa TZ hamna corona... Matokeo yake wimbi la pili lika fanya yake.
 
Kwenye medani ya uongo na uzandiki mbona hana mpinzani huyo. Anapita bila kupingwa wala hafanyi hata kampeni (CV yake inambeba kishenz).

● Alituambia tuwachange bukoba wahanga wa tetemeko waliovunjiwa nyumba zao. Tukajikaza kiaskari na kujibana watanzania kuwachangia. Waulize kama waliona hata Sh 100 ya ujenzi wa nyumba zao.

● Alituambia kila mwalimu atapewa Laptop. Waulize kama amepewa hata mmoja.

● Alituambia kila kijiji atawapa Millioni 50 kwaajili ya kufanya maendeleo na uchumi. Waulize kama waliiona hio hela.

● Alituambia wafanyakazi sekta za umma/walimu, wataongezewa mishahara na madaraja kabla hajaondoka. Waulize kama wameongezewa hizo nyongeza za mishahara na madaraja (Labda madaraja ya ubungo na mfugale ndio wameyaona).

● Alituambia tutalipwa hela ndefu kwenye fidia ya makinikia. Waulize kama mabeberu walitoa hio hela.

● Alituambia Tanzania tutatoa misaada kwa wazungu, sisi ni "DONA KANTRI". Hakuna cha donna wala sembe, ni mwendo wa hali ngumu mpaka skin tight kupwaya mitaani.

● Alituambia serikali yake kutakua hakuna wizi wala ufisadi, na atakefanya ufisadi wa hela basi zitamtokea tundu lolote. Mbona yeye na kina Ole Sabaaya na Makonda walifisadi nchi na kuiba.

Yule mzee sio kabisa. Siku alivyofukiwa mpaka malaika watoa kichapo waliokua likizo, ilibidi waitwe kazini kwa dharura kumpokea.
Bukoba alizomewa kwenye kampeni
 
Ina maama hata alipotaja idadi ya samaki waliopo baharini ,haikua kweli?
 
● Kwenye kutupa idadi za samaki, watoto wa samaki pamoja na mayi yao kwenye Ziwa Victoria na Baharini. Wala tusipagusie kabisa, tuache hio issue siku ingine.

Yule mzee sio kabisa. Siku alivyofukiwa mpaka malaika watoa kichapo waliokua likizo, ilibidi waitwe kazini kwa dharura kumpokea.
Huyo alikuwa ni mgonjwa wa akili,ivyo hana kesi
 
Hahaaa!!!!alikuwa anatisha kwer kwer
Kwenye medani ya uongo na uzandiki mbona hana mpinzani huyo. Anapita bila kupingwa wala hafanyi hata kampeni (CV yake inambeba kishenz).

● Alituambia tuwachange bukoba wahanga wa tetemeko waliovunjiwa nyumba zao. Tukajikaza kiaskari na kujibana watanzania kuwachangia. Waulize kama waliona hata Sh 100 ya ujenzi wa nyumba zao.

● Alituambia kila mwalimu atapewa Laptop. Waulize kama amepewa hata mmoja.

● Alituambia kila kijiji atawapa Millioni 50 kwaajili ya kufanya maendeleo na uchumi. Waulize kama waliiona hio hela.

● Alituambia wafanyakazi sekta za umma/walimu, wataongezewa mishahara na madaraja kabla hajaondoka. Waulize kama wameongezewa hizo nyongeza za mishahara na madaraja (Labda madaraja ya ubungo na mfugale ndio wameyaona).

● Alituambia tutalipwa hela ndefu kwenye fidia ya makinikia. Kila raia noah moja moja. Waulize kama mabeberu walitoa hio hela.

● Alituambia Tanzania tutatoa misaada kwa wazungu, sisi ni "DONA KANTRI". Hakuna cha donna wala sembe, ni mwendo wa hali ngumu mpaka skin tight kupwaya mitaani.

● Alituambia serikali yake kutakua hakuna wizi wala ufisadi, na atakefanya ufisadi wa hela basi zitamtokea tundu lolote. Mbona yeye na kina Ole Sabaaya na Makonda walifisadi nchi na kuiba.

● Kwenye kutupa idadi za samaki, watoto wa samaki pamoja na mayai yao kwenye Ziwa Victoria na Baharini. Wala tusipagusie kabisa, tuache hio issue siku ingine.

Yule mzee sio kabisa. Siku alivyofukiwa mpaka malaika watoa kichapo waliokua likizo, ilibidi waitwe kazini kwa dharura kumpokea.
 
Pole mjane
Napenda kuwa kinyume cha mabeberu, waliochangia wote ni % 0.0001 ya watanzania ambao kimsingi ndio kina Riz1, Makamba, Kigoda, Mwinyi, Lowasa, Mbowe, Syskes, Kawawa, Malecela n.k ambao ndo wanaonekana Intellectuals kwa kulipa ada za mamilioni na kusoma nje ya mipaka, wakaja kupewa Symbion, IPTL,Accacia n.k kuendesha

Walioishi na kusoma wakiendesha 109, wakilipiwa 49m ada kwa mwaka, wakituona sisi washamba kwa wao kupata exposure ambayo Mwanalumango hawawezi hata kuifikiria.

Hawa ni wale wenye kuuza iphone pale Makumbusho na Mwenge na kutembelea Landrover Discovery ya 2020, kwamba IPHONE kwa TZ hii ni very FAST MOVING ITEM.

Watoto wao wako kwenye payroll ya accacia, chawa ndo hawa wanaoongea mitandaoni.

Kamuulize mwalimu, kamwambie mfanyabiashara afanye biashara halali kwa kodi stahiki bila kutakatisha pesa tuone haya mnayoyasema kama yana swiiii
 
Back
Top Bottom