Waziri wa Miundombinu na Ujenzi Mheshimiwa John Magufuli amesema kwamba atasimama na msimamo wake kuyapiga marufuku magari ya mazigo kutokugoma barabarani.Waziri Magufuli amesema kwamba anashangaa kutokana na lawama anazobebeshwa kufuatia mgomo unaoendelea na kudai kuwa amefanya hivyo kwa kufuata sheria na kuongeza kuwa analazimika kuchukua hatua hizo ili kulinda barabara zisiharibiwe Nchini.Na zaidi amewataka wamiliki wa malori kwamba milango iko wazi wanaweza kwenda mahakamani kama wanahisi wameonewa.
Barabara ya Mandela imejengwa miaka michache iliyopita, na sasa imeanza kuharibika kwa sababu ya uzito wa mizigo kwenye magari. Hapa Mh.Magufuli lazima ajue kitu kimoja, pamoja na uzito unaozidi, lakini pia, wanaojenga hizi barabara wanazijenga kwa kiwango cha chini sana!

Huku ndo kudivert attention sasa!
mi namshauri magufuli aweke mzani bandarini ili kunusuru barabara ya mandelaMandela road kiwango cha chini, una uhakika? Halafu pesa zilitoka European Union, wakaleta Mhandisi Mshauri wenyewe, Tanroads walihusika tu kama Clerks of works! Ikumbukwe kuwa kazi iliyofanyika Mandela Road ni kazi bora kabisa kwa uwezo wetu, huku tukizingatia kama tungekuwa na uwezo tungeongeza ili kuongeza tabaka la materials zile, lakini hatukuweza kuongeza, basi design imebaki ya tani angalau 40 hivi! Kwa kifupi Mandela road waliweka overlay, na siyo ujenzi from the scratch/beginning.
Waziri wa Miundombinu na Ujenzi Mheshimiwa John Magufuli amesema kwamba atasimama na msimamo wake kuyapiga marufuku magari ya mazigo kutokugoma barabarani.Waziri Magufuli amesema kwamba anashangaa kutokana na lawama anazobebeshwa kufuatia mgomo unaoendelea na kudai kuwa amefanya hivyo kwa kufuata sheria na kuongeza kuwa analazimika kuchukua hatua hizo ili kulinda barabara zisiharibiwe Nchini.Na zaidi amewataka wamiliki wa malori kwamba milango iko wazi wanaweza kwenda mahakamani kama wanahisi wameonewa.
Waziri wa Miundombinu na Ujenzi Mheshimiwa John Magufuli amesema kwamba atasimama na msimamo wake kuyapiga marufuku magari ya mazigo kutokugoma barabarani.Waziri Magufuli amesema kwamba anashangaa kutokana na lawama anazobebeshwa kufuatia mgomo unaoendelea na kudai kuwa amefanya hivyo kwa kufuata sheria na kuongeza kuwa analazimika kuchukua hatua hizo ili kulinda barabara zisiharibiwe Nchini.Na zaidi amewataka wamiliki wa malori kwamba milango iko wazi wanaweza kwenda mahakamani kama wanahisi wameonewa.
Magufuli nnchizi.
huwezi kukomalia sheria inayovuruga jamii nawe unajisifu kusimamia sheria.