Magufuli akiongea na waisilamu husoma hotuba, tunaomba na kwingine asome pia

chinchilla coat

JF-Expert Member
May 16, 2016
5,107
10,961
Namuona Magufuli akiongea na waisilamu kwenye sherehe za Idd hapa, anaongea kwa utaratibu na discipline kweli,
hata alipowakaribisha kufuturu ikulu alisoma hotuba na hapa anaonekana ni mtu mstaarabu na diplomatic kweli
mimi naona angekuwa anasoma hotuba zake kwenye matukio yote ili kuepusha utata kama ilivyotokea kwenye speech zake za kutokusoma mfano ile ya UDSM ya kuzindua ujenzi wa maktaba ya wachina
 
Back
Top Bottom