Magufuli akacha Mahojiano ya BBC

Toa mapungufu ya mahojiano ya EL na Zuhura Yunus, kama hauna acha kulaumu majibu ya EL!
 
Watu wabishi, kakimbia kwani uongoooo... 😀😀😀
 




Mkuu kwa hio ID yako basi unaonaje kuanzia J2 Tukakubabidhi huyu Magufuli? Ila nimeambiwa hapigi tena push ups siku hizi maana anakuogopa!
 
No vizuri Kama amekimbia mapema kuliko kujitia aibu. Ila mahonia onside yanakuwa kwa Kiswahili?
 
Sio siri kwamba our country is in a mess and to clear the mess will take some time.Sio rahisi at day one tufanye kila kitu.Ila kwa kuziba mianya ya uvujaji wa mapato tunaweza kutoa elimu bure at day one.Tukiwa na nidhamu ya matumizi,tukiziba mianya yote ya matumizi mabaya,tukikusanya mapato vizuri na tukihakikisha mikataba yote ya madini nk.ina manufaa kwa taifa, we are assured of moving forward quickly kwa direct investment in other sectors kama afya,elimu,kilimo, infrastructure nk.Sitegemei muujiza mara moja kwa hali iliyopo.
 
huyu mtu ni boya tu!!! je angealikwa hard talk angeweza?
 
Oya hii zamu ya magufuli kurushwa bbc ni lini tumcheki tingatinga?
 
Kumbe zile taarifa za Magufuli kutumia uchawi ili awe raisi ni kweli.
 

Na angeulizwa MV dar es salaam "brand new" inayotumia masaa matatu kwenda bagamoyo angejibuje?
 
Aibu kwa Tanzania mgombea urais hajui lugha za wahisani.

Pengine angeshinda tungempata SULTANI MANGUNGO mwingine.

Mimi binafsi hainipi shida kwamba hajui lugha ya malkia. Maana wapo marais wengi wa mataifa makubwa hawazungumzi hiyo lugha. Shida yangu ni kwamba ccm imeoza..hata ukimweka malaika mle atageuka kua ibilisi.
 
Uhakika wa wazembe kumuweka fisadi madarakani ili wafisadike nae uliota mbawa ndio maana kila kukicha wanabweka njaa
njaa njaa.....! Mtakufa, waadilifu wanazidi nenepa maana tofauti ya kipato chao halali sasa na zamani no ya ongezeko. Tutafika tu na wao(mafisadi) itafika sehemu Watson's walichelewa kurudi kwenye uadilifu wa mwalimu! JKN.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…