Magufuli akacha Mahojiano ya BBC

BABA TUPAC

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2015
Posts
1,533
Reaction score
3,838
Ikiwa ni siku moja baada ya Rais mtarajiwa Edward Lowassa kufanya interview ya BBC leo ilikuwa ahojiwe mgombea wa CCM.

BBC waliahidi hivyo jana na hata leo magroup yote ya whatsapp taarifa zilisambazwa kuwa Magufuli atafanya interview na BBC lakini Magufuli amekimbia.
 
Mtoa mada inafanya kazi BBC maana Sijaona bandiko LA BBC lililosema kuwa Leo zamu ya Magufuri just assumptions from people.
 
-Angeulizwa nyumba za serikali alizoshiriki uuzaji wake, angejibuje?

-Angeulizwa, fedha za barabara ya mradi wa DART kutoka Kimara mwisho hadi makutano ya bibi Titi, iliojengwa kwa upana wa mita 5 badala ya mita 6, iko wapi, angejibuje?

LAKINI, namkubali ni JEMBE pia!
 
Mukitaka huyo Mr.Politicians arudi kwenye hio interview basi mwelezeni ya kwamba hio interview sio ya kiingereza bali ni ya Kiswahili! La si hivyo mumfuate Mwanza alikojifungia. Nasikia akiona Nembo ya BBC tu basi huanza kujikojolea kwenye suruali! Alifikiri Urais ni kupiga push ups tu majukwani! Sasa kuna CCN, BBC, VOA, Aljazeera hana pa kutokea huyo kama alikimbia midahalo shuleni!
 
Hata kwenda kupiga kampein ukerewe kaogopa eti kuna upinzani.
 
Aibu kwa Tanzania mgombea urais hajui lugha za wahisani.

Pengine angeshinda tungempata SULTANI MANGUNGO mwingine.
 

"Azibaye masikio yake asisikie kilio cha maskini, yeye naye atalia lakini hatasikiwa"
 
sababu kubwa ni kwamba BBC hakuna sehemu ya kupigia push_ups.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…