Hahahahaaaa!
Mleta mada umeniacha hoi!
Mkuu niko mbeya since ujio wa lowasa wa 14/8 !
Ni kweli jamaa anapita sehemu mbali mbali mbeya ila pipo they busy like hakuna wajualo kuhusu Magufuli!
Ukiona magar na vibendera ndo watu wanauliza kwa kuna nini!
Kwa kifupi hakuna mwenye hiyo habar! Unless uniambie hapa kafanyia kiwanja gani whether wilayan au mkoani penyewe!
Mbeya nchi! Sugu rais!
Huwaambii kitu
Magufuli kazomewa hivo mbeya ni pm nikutumie video aliyokuwa anazomewa