Magufuli aiteka Mbeya, UKAWA bye bye!

Magufuli aiteka Mbeya, UKAWA bye bye!

Mr Chin

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
4,625
Reaction score
1,024
[h=3]MHESHIMIWA MAGUFULI AITEKA MBEYA[/h]

Mhe. John Magufuli akiwa katika Kampeni Mbeya akiungwa mkono na viongozi wengine pamoja na Wanachama.

11230037_801015776683082_5449568270600473046_n.png

Akihutubia Malefu wa Wananchi wa Mbeya

11880553_801015760016417_6810767085325831148_n.png

Mheshimiwa Magufuli akimsikiliza Mkazi wa Mbeya aliye kwenda kumuoa

11899887_801015766683083_6686609879247096971_n.png

Mheshimia Magufuli akipokea Baraka kutoka Masista Kanisa la Katoliki Mbeya

11228901_801015816683078_3402299991333790072_n.png

Wakazi wa Mbeya walivyo furika kumuoa Mheshimiwa Magufuli

11905764_801015813349745_3073264599696150197_n.png

Mheshimiwa Magufuli akisalimia na watu mbali bali

11960049_801015806683079_5860950162780844141_n.png

Mheshimiwa Magufuli akisalimia na watu mbali bali

11954649_801015913349735_9161399620302940046_n.png

Haya ni Zaidi ya Mafuriko.

11898648_801015923349734_9205002798733389024_n.png

Mbeya Nzima Yazizima baada ya Magufuli kutia Mguu wake.

11896161_801015926683067_7877983844507030959_n.png

HUYU NDIE RAIS WETU MTARAJIWA MHESHIMIWA MAGUFULI
 
Hahahahaaaa!
Mleta mada umeniacha hoi!
Mkuu niko mbeya since ujio wa lowasa wa 14/8 !

Ni kweli jamaa anapita sehemu mbali mbali mbeya ila pipo they busy like hakuna wajualo kuhusu Magufuli!
 
Hahahahaaaa!
Mleta mada umeniacha hoi!
Mkuu niko mbeya since ujio wa lowasa wa 14/8 !

Ni kweli jamaa anapita sehemu mbali mbali mbeya ila pipo they busy like hakuna wajualo kuhusu Magufuli!

Sema wewe hujui hujualo...
 
Ukiona magar na vibendera ndo watu wanauliza kwa kuna nini!

Kwa kifupi hakuna mwenye hiyo habar! Unless uniambie hapa kafanyia kiwanja gani whether wilayan au mkoani penyewe!

Mbeya nchi! Sugu rais!
Huwaambii kitu
 
Hahahahaaaa!
Mleta mada umeniacha hoi!
Mkuu niko mbeya since ujio wa lowasa wa 14/8 !

Ni kweli jamaa anapita sehemu mbali mbali mbeya ila pipo they busy like hakuna wajualo kuhusu Magufuli!

usijichekeshe, wewe tunakujua uko moshi usitudanganye ulikuwa Mbeya, hiyo nyomi inajieleza yenyewe, na kwenye TV tumeona
 
Hahahahaaaa!
Mleta mada umeniacha hoi!
Mkuu niko mbeya since ujio wa lowasa wa 14/8 !

Ni kweli jamaa anapita sehemu mbali mbali mbeya ila pipo they busy like hakuna wajualo kuhusu Magufuli!

nenda kakojoe ulale!
Inamaana hao waliokusanyika sio watu, au ni matako yako yaliyokusanyika!
 
Hahahahaaaa!
Mleta mada umeniacha hoi!
Mkuu niko mbeya since ujio wa lowasa wa 14/8 !

Ni kweli jamaa anapita sehemu mbali mbali mbeya ila pipo they busy like hakuna wajualo kuhusu Magufuli!

Ukiona magar na vibendera ndo watu wanauliza kwa kuna nini!

Kwa kifupi hakuna mwenye hiyo habar! Unless uniambie hapa kafanyia kiwanja gani whether wilayan au mkoani penyewe!

Mbeya nchi! Sugu rais!
Huwaambii kitu

Semeni kafanyia wapi huo mkutano!
Acheni taarabu

Hata kama una mapenzi binafsi na Lowassa usijitoe ufahamu!
 
Hii NCHI kweshineeeeii kabisa yaani sasa hivi ni ukanda tu hakuna sera wala nn yaan wame copy n paste ya kuleee visiwa vya karafuu pembazi n Ungujaz hatari .
 
Hii NCHI kweshineeeeii kabisa yaani sasa hivi ni ukanda tu hakuna sera wala nn yaan wame copy n paste ya kuleee visiwa vya karafuu pembazi n Ungujaz hatari .

Kwisha Habari yao
 
Back
Top Bottom