Hawa watu wa mikoa mingapi
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Dr Magufuli ni mpango wa Mungu hapana chezea Tinga Tinga hapa ni Arusha.
ARUSHA YATAPIKA
Mr Chin
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Dr Magufuli ni mpango wa Mungu hapana chezea Tinga Tinga hapa ni Arusha.
ARUSHA YATAPIKA
Mr Chin
Mlisema ccm haipo ArushaYaani stadium imejaa halafu pembeni mjini shughuli zinaendelea kama kawa subiri tarehe 9... Mji utasimama sababu wakazi halisi watafurika Tindigani
Huoni watu wana uzi wa kijani na njano?Umati kama huo hautishi kwani tumezoea kuona wengine ni wa vyama vingine wamefika hapo kumwona huyo anaepambana na mwamba wa kaskazini kuwania magogoni.
Hawa watu wa mikoa mingapi
Asilimia kubwa hapo.ni kula ccm kura ukawa.
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Dr Magufuli ni mpango wa Mungu hapana chezea Tinga Tinga hapa ni Arusha.
ARUSHA YATAPIKA
Mr Chin
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Dr Magufuli ni mpango wa Mungu hapana chezea Tinga Tinga hapa ni Arusha.
ARUSHA YATAPIKA
Mr Chin
Siyo Mungu muumba mbingu na nchi. Mungu hachanganyi baraka zake na uongo, uzushi, rushwa, matusi, fitina, kulazimisha ushindi hata kama hutakiwi, kuwahadaa wananchi. Sio Mpango wa Mungu muumba mbingu na nchi, labda Mungu mwingine. Maana hata Farao alikuwa na miungu