Magufuli aibua ufisadi wa Sh5 bilioni

hizi pombe ni balaa, tungewapata wanne kama hawa basi tungekuwa mbali
 
Wewe ndio SOKOINE WETU tunakutegemea.

wengine naona kama bendera fuata upepo tu wapo wapo tu hawaeleweki kabisa.

wamezoea "SPOON FEEDING" kazi kuasini karatasi za uongo tu wapate KUJAZA MATUMBO YAO.

WEWE DR. WA UKWELI TUNAKUHESHIMU tukomboe sisi wanyonge.

natamani ungenipa na mie japo ukatibu mtendaji tu.
 
*

Alisema kuwa Serikali itatumia sh 17,973,091,427 kwa kulipa fidia.

"Kama nyumba yako imeingia nusu ndani ya eneo la barabara, itabomolewa hiyo nusu na wewe utalipwa kulingana na ulivyobomolewa, hatuwezi kulipa gharama ya nyumba nzima wakati umebomolewa nusu," alisisitiza.

:rolleyes::rolleyes::rolleyes::rolleyes::rolleyes::rolleyes::rolleyes:
 
Wewe ndio SOKOINE WETU tunakutegemea.

wengine naona kama bendera fuata upepo tu wapo wapo tu hawaeleweki kabisa.

wamezoea "SPOON FEEDING" kazi kuasini karatasi za uongo tu wapate KUJAZA MATUMBO YAO.

WEWE DR. WA UKWELI TUNAKUHESHIMU tukomboe sisi wanyonge.

natamani ungenipa na mie japo ukatibu mtendaji tu.
ooh
 
Back
Top Bottom