Malinyingi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2013
- 864
- 164
Kuna mtu mmoja jana alisema hivi, "Kutafuta mgombea safi toka CCM, ni sawa na kutafuta Bikra kwenye Wodi ya Wazazi...."
Kutafuta bikira kwenye wodi ya wazazi inawezekana, inawezekana akawa NESI aliye bikra, si unaitafuta wodini?