Hizi ni dalili za wazi za kuchanganyikiwa na mafuriko ya UKAWA !
Kwanza muongo....serikali ina fweza gani wakati madeni yamewazidi kimo...?
Huko mnajisumbua mlishatesa watu na kuwapiga sababu ya gesi....sasa hata mgawe malori kwa kila kaya mtapigwa chini tuuu
kigumuuuu!!!!hatukawii kuasikia wamachinga wasibuguziwe popote pale watakapofanyia biashara,
boda boda waache huru kufanya kazi zao katika ya jiji kwani wanajipatika riski,
mama ntilie, wamachinga na wapika vitumbua katikati ya jiji ni marufuku kuwakamata kwa sasa kwani serikali ya awamu ya tano itakuja na mipango mkakati wa kuyatafutia ufumbuzi wa kudumu masuala haya.
Kidumu chama cha mapinduzi.........!!!
![]()
Waziri wa Ujenzi, John Magufuli.
Serikali imeagiza wanafunzi na watu wenye ulemavu katika Manispaa ya Mtwara Mikindani na kata ya Msangamkuu, watasafiri bure kwenye kivuko cha Mv Mafanikio.
Kauli hiyo ilitolewa juzi na Waziri wa Ujenzi, John Magufuli, wakati akimkaribisha Rais Jakaya Kikwete kuzindua kivuko hicho.
Alisema wanafunzi wote waliovaa sare za shule hawatatozwa nauli kutokana na kundi hilo kuwa tegemezi.
Walemavu na wanafunzi watavuka bure bila kutozwa hata shilingi 10, ili mradi tu awe amevaa sare za shule na walemavu pia hawatatozwa pesa yoyote na kwa wengine ni lazima tuendelee kuchangia mafuta ili kivuko hiki kitusaidie na kuwa endelevu, alisema.
Magufuli alisema kivuko hicho chenye uwezo wa kubeba abiria 100 pamoja na magari kimegharimu Sh. milioni 3.3, fedha kutoka serikalini.
Akihutubia wananchi wa Msangamkuu pamoja na Mtwara wakati wa uzinduzi huo, Rais Jakaya Kikwete alisema serikali imetatua kero hiyo ya kivuko iliyokuwa ikiwakabili wananchi kwa muda mrefu.
Kupatikana kwa kivuko hiki ni fursa nzuri kwenu kitumieni kwa kuuza bidhaa mbalimbali, kama mkazi wa Msangamkuu una mingoko yako unahitaji kwenda kuuza mjini tumia kivuko hiki kwa maendeleo yenu alisema Rais Kikwete.
Alisema kutokana na wakazi wa maeneo hayo kukosa kivuko tangu kupatikana kwa uhuru, watu wengi walipoteza maisha na kuwataka kukitumia kivuko hicho vizuri.
CHhanzo: NIPASHE
Swali langu: Nakumbuka Magufuri alishawahi kuwambia wananchi wa Kigamboni kwamba asiye na hela ya kulipia pantoni apige mbizi.
Lakini hivi karibuni Magufuli ambaye ni mgombea urais kupitia CCM ameagiza wanafunzi na walemavu wasafiri bure kwenye kivuko huko Mtwara, je hii sio rushwa ya kutaka kupata kura 25 oct?
chanzo?baada ya utafiti
kanda ya ziwa;
kagera
shinyanga
mwanza
musoma
tabora
geita
ushindi.......................
90% kwa magufuri
lowasa 10%
nyanda za juu kusini ,
magufuri 65%
lowasa 32%
coastal
magufuli 60%
lowasa 39%
zanzibar
magufuri 53%
lowassa 47%
kaskazini
lowasa 60%
magufuri 32 %
kanda ya kati;
magufuri 59 %
lowasa 32%
ziwa magharibi
magufuri 80 %
lowassa 12 %
ndo maana kwa mara ya kwanza ccm wapiga mwizi kimya kimya;
ccm 62 %
ukawa 38 %
Duuuuuhhhh mambo juu ya mambo,ama kweli tunafanywa Mabwege ile mbaya.Hebu nikuombe kama unazo picha za uzinduzi uliofanywa na Mh. Hawa Ghasia tuwekee ili hawa wakubwa wajuwe na sisi tuna akili,siyo wao tu.Au Mh.Rais kapigwa changa la macho...
Magufuli pia si alikuwepo siku ya uzinduzi? Wanajaribu kumuuza huyu jamaa sana ila hauziki.
![]()
Waziri wa Ujenzi, John Magufuli.
Serikali imeagiza wanafunzi na watu wenye ulemavu katika Manispaa ya Mtwara Mikindani na kata ya Msangamkuu, watasafiri bure kwenye kivuko cha Mv Mafanikio.
Kauli hiyo ilitolewa juzi na Waziri wa Ujenzi, John Magufuli, wakati akimkaribisha Rais Jakaya Kikwete kuzindua kivuko hicho.
Alisema wanafunzi wote waliovaa sare za shule hawatatozwa nauli kutokana na kundi hilo kuwa tegemezi.
Walemavu na wanafunzi watavuka bure bila kutozwa hata shilingi 10, ili mradi tu awe amevaa sare za shule na walemavu pia hawatatozwa pesa yoyote na kwa wengine ni lazima tuendelee kuchangia mafuta ili kivuko hiki kitusaidie na kuwa endelevu, alisema.
Magufuli alisema kivuko hicho chenye uwezo wa kubeba abiria 100 pamoja na magari kimegharimu Sh. milioni 3.3, fedha kutoka serikalini.
Akihutubia wananchi wa Msangamkuu pamoja na Mtwara wakati wa uzinduzi huo, Rais Jakaya Kikwete alisema serikali imetatua kero hiyo ya kivuko iliyokuwa ikiwakabili wananchi kwa muda mrefu.
Kupatikana kwa kivuko hiki ni fursa nzuri kwenu kitumieni kwa kuuza bidhaa mbalimbali, kama mkazi wa Msangamkuu una mingoko yako unahitaji kwenda kuuza mjini tumia kivuko hiki kwa maendeleo yenu alisema Rais Kikwete.
Alisema kutokana na wakazi wa maeneo hayo kukosa kivuko tangu kupatikana kwa uhuru, watu wengi walipoteza maisha na kuwataka kukitumia kivuko hicho vizuri.
CHhanzo: NIPASHE
Swali langu: Nakumbuka Magufuri alishawahi kuwambia wananchi wa Kigamboni kwamba asiye na hela ya kulipia pantoni apige mbizi.
Lakini hivi karibuni Magufuli ambaye ni mgombea urais kupitia CCM ameagiza wanafunzi na walemavu wasafiri bure kwenye kivuko huko Mtwara, je hii sio rushwa ya kutaka kupata kura 25 oct?
ha ha ahahaha siasa siasani
asante mkuuwewe ni mwanamke bora aliyeona ni vizuri kubadili mfumo wa ccm bali endelea kuhimiza wasichana na akina mama maana wana misimamo ya ujima.kakumbuka shuka sasa magufuli
big up
baada ya utafiti
kanda ya ziwa;
kagera
shinyanga
mwanza
musoma
tabora
geita
ushindi.......................
90% kwa magufuri
lowasa 10%
nyanda za juu kusini ,
magufuri 65%
lowasa 32%
coastal
magufuli 60%
lowasa 39%
zanzibar
magufuri 53%
lowassa 47%
kaskazini
lowasa 60%
magufuri 32 %
kanda ya kati;
magufuri 59 %
lowasa 32%
ziwa magharibi
magufuri 80 %
lowassa 12 %
ndo maana kwa mara ya kwanza ccm wapiga mwizi kimya kimya;
ccm 62 %
ukawa 38 %
asante mkuu
utafiti wako umeufanya ukiwa umekalia nini?
Sasa wewe unataka kufananisha umati wa kigamboni na ni mjini upande panton bure,running cost nani ata incur? Mbona tunakuwa na vichwa vigumu kuchambua mambo?,uchumi wa mtwara ni sawa na dar?, population ya watu wanaovuka kwenda msanga mkuu ni sawa na wanaovuka kwenda kigamboni?,angalia fuel consumption,maintenance ya kivuko