MAGU, MWANZA: Wananchi walalamika njaa, Rais Magufuli awajibu "Mnataka nije niwapikie?"

huyu rais sion muda ataingiza ukabila TZ, kwa nini yeye anaona sifa sana kuongea kulugha? tulishatoka huko lakini naona awamu hii ni balaa tu.
 
Mzee bure si ni yule mwenye maneno matamu matamu mzee wa maisha ... Kwa kila mtanzania aliwadekeza sana watanzania tukajisahau na hakuwa mchoyo wa kutoa siri alituambia kabisa mimi mlisema ni mpole sasa nawaletea mkali zaidi yangu naye si mwingine Bali ni MAGUFULI tukiambiwa ukweli tunakasirika
 
Rais Magufuli akiwa kwenye ziara yake ya kikazi, wananchi wa wilaya ya Magu mkoani Mwanza wamemsimamisha na kumlalamikia kuwa wana tatizo la njaa.

Wananchi hao wanasikika wakipaza sauti za 'Njaa.. Njaa'' wakati akisalimia na kutoa shukrani zake kwa kumchagua kuwa Rais katka Uchaguzi Mkuu 2015.

Baada ya kelele za njaa kuzidi, Rais Magufuli anasikika akimjibu mmojawapo huku akichanganya na lugha ya kisukuma.

''Njaa, unataka mimi nikakupikie chakula ule'', kauli ambayo inaibua vicheko kutoka kwa wananchi hao waliokuwa wakimshangilia.

Rais anasikika akimaliza kwa kusema ''Magu Oyee! Nataka niwashukuru wananchi wa Magu kwa kunipigia kura''.

My take: Kisukuma sijui hapo Raisi kaongea nini!

Ee mungu tuondollee huyu mtu wako,ni wewe uliyemuweka na ni wewe mwenye uwezo wa kumtoa
 
Rais Magufuli akiwa kwenye ziara yake ya kikazi, wananchi wa wilaya ya Magu mkoani Mwanza wamemsimamisha na kumlalamikia kuwa wana tatizo la njaa.

Wananchi hao wanasikika wakipaza sauti za 'Njaa.. Njaa'' wakati akisalimia na kutoa shukrani zake kwa kumchagua kuwa Rais katka Uchaguzi Mkuu 2015.

Baada ya kelele za njaa kuzidi, Rais Magufuli anasikika akimjibu mmojawapo huku akichanganya na lugha ya kisukuma.

''Njaa, unataka mimi nikakupikie chakula ule'', kauli ambayo inaibua vicheko kutoka kwa wananchi hao waliokuwa wakimshangilia.

Rais anasikika akimaliza kwa kusema ''Magu Oyee! Nataka niwashukuru wananchi wa Magu kwa kunipigia kura''.

My take: Kisukuma sijui hapo Raisi kaongea nini!

Wataalam wa milembe hospt fanyeni kazi yenu nchi inaangamia
 
huyu rais sion muda ataingiza ukabila TZ, kwa nini yeye anaona sifa sana kuongea kulugha? tulishatoka huko lakini naona awamu hii ni balaa tu.
Basi huu ujima ungekuwa unafanywa na Mhaya au Mchagga ungeona povu na mitusi mipropoganda uchwara (Wahaya ni wakabila, CDM ni chama cha wachagga, nk) ambayo ingetoka mtaa wa Lumumba, ungekimbia. Lakini kwa vile hii ni kuhusu Wasukuma hapo ni sawa hakuna ukabila. Huo ni utaifa. I love CCM.
 
Rais Magufuli akiwa kwenye ziara yake ya kikazi, wananchi wa wilaya ya Magu mkoani Mwanza wamemsimamisha na kumlalamikia kuwa wana tatizo la njaa.

Wananchi hao wanasikika wakipaza sauti za 'Njaa.. Njaa'' wakati akisalimia na kutoa shukrani zake kwa kumchagua kuwa Rais katka Uchaguzi Mkuu 2015.

Baada ya kelele za njaa kuzidi, Rais Magufuli anasikika akimjibu mmojawapo huku akichanganya na lugha ya kisukuma.

''Njaa, unataka mimi nikakupikie chakula ule'', kauli ambayo inaibua vicheko kutoka kwa wananchi hao waliokuwa wakimshangilia.

Rais anasikika akimaliza kwa kusema ''Magu Oyee! Nataka niwashukuru wananchi wa Magu kwa kunipigia kura''.

My take: Kisukuma sijui hapo Raisi kaongea nini!

Never trust these peoples, they are imbeciles!
 
Basi huu ujima ungekuwa unafanywa na Mhaya au Mchagga ungeona povu na mitusi mipropoganda uchwara (Wahaya ni wakabila, CDM ni chama cha wachagga, nk) ambayo ingetoka mtaa wa Lumumba, ungekimbia. Lakini kwa vile hii ni kuhusu Wasukuma hapo ni sawa hakuna ukabila. Huo ni utaifa. I love CCM.
You are also an imbecile!
 
Unaongelea njaa ikiwa marekani,huu ni ufala
Hebu niwekeni sawa. Huyu Mwana kijiji yuko Marekani? Kama ni kweli KONEKSHENI yangu ya nyuma inaweza pata walau nguvu kidogo. Ni hivi: Huko nyuma nilihisigi kuwa MMM ni Dr. Slaa. Zilikuwa ni hisia nilizo zijenga kwa KUUNGANISHA kauli za Bwana Slaa na MAANDIKO ya MMM wakati huo katika gazeti la Tanzania Daima.....
 
Safi sana Magufuli, Watanzania wamezowea kulia lia njaa kijinga.

Utakuta mtu anaelia njaa hapo kishakandamiza mapya lita tano.
 
Back
Top Bottom