Unalikuza tu. It was just one sentence.Sikubaliani hata kidogo the figurehead, kusema kilugha. Tulitoka huko zamani, ndio maana tupo kama tulivyo sasa. Sidhani kama raisi anashauriwa ipasavyo, inawezekana labda hakubali ushauri.
This is a dangerous game!
Ni nini hataki watanzania wengine tuelewe anaposema na watu wa kwao?
Hayo maneno ya kisukuma maana yake ( Hawa wanawaleteleza nitaacha kuongea), alikuwa anawashutumu waliokuwa wanasema njaa.Mwenye tafsiri ya maneno ya kilugha
Hakuna namnaSasa hivi kila mtu anatukanwa. Mwananchi, mpinzani,magazeti,wafanyabiashara
Nyinyi ndio hamna akili. Aliyetaka kuligawa taifa ni yule aliyekuwa akipigwa picha akigawa maburungutu ya fedha. Aliyetaka huruma ya ukuu wa nchi kwa kigezo cha dhehebu lake.Huna akili mtu anagawa taifa wewe unajikomba nchi hii sio ya mama yake Kama amechoka aondoke sio kuturudishia ukabila kwanza anatumia kodi zetu kuzurura na kutukana wananchi huko
hujielewi wewe maburungutu ya serikali mtukufu si anayagawa ikulu au wewe kipofu toa ujinga hapa kwani alishindwa au kwa sababu aliyepo alipachikwa siku nyingine jisogeze usileta hasira uchwara hapaNyinyi ndio hamna akili. Aliyetaka kuligawa taifa ni yule aliyekuwa akipigwa picha akigawa maburungutu ya fedha. Aliyetaka huruma ya ukuu wa nchi kwa kigezo cha dhehebu lake.
Matusi huyajui, unapoteza nguvu nyingi kuweka hasira moyoni. Na hajatukanwa mtu zaidi ya kuambiwa ukweli unaouma.
Mimi japo sina hata elimu ya Chuo kikuu lakini nimemuelewa jamani hata kama hatumpendi kuna wakati lazima tupunguze munkari ndiyo maana hata hao watu wamecheka achene kulifanya kila jambo ni la kisiasa.Rais Magufuli akiwa kwenye ziara yake ya kikazi, wananchi wa wilaya ya Magu mkoani Mwanza wamemsimamisha na kumlalamikia kuwa wana tatizo la njaa, akawajibu kuwa ''mnataka niwapikie''?
Hizi kauli zinatupeleka wapi Watanzania?
Pole sana babylata, unaishi na machungu moyoni. Nyinyi ndio hamna akili, mlitaka kutuingiza chaka baya, tukakushtukieni mapema.hujielewi wewe maburungutu ya serikali mtukufu si anayagawa ikulu au wewe kipofu toa ujinga hapa kwani alishindwa au kwa sababu aliyepo alipachikwa siku nyingine jisogeze usileta hasira uchwara hapa