MAGU, MWANZA: Wananchi walalamika njaa, Rais Magufuli awajibu "Mnataka nije niwapikie?"

Tatzo mnataka kuligeuza hili suala KISIASA mnashindwa, ona sasa UNAKIMBILIA kutukana MATUSI.....hiki kizazi za malezi ya zero brain shida sana......
Mkuu, hawa ni wale watoto wa mwisho mwisho kuzaliwa ocean road. Ni matunda ya ugali wa yanga tuliokula enzi zile za uhujumu uchumi kuelekea 1985.
 
Sikubaliani hata kidogo the figurehead, kusema kilugha. Tulitoka huko zamani, ndio maana tupo kama tulivyo sasa. Sidhani kama raisi anashauriwa ipasavyo, inawezekana labda hakubali ushauri.
This is a dangerous game!
Ni nini hataki watanzania wengine tuelewe anaposema na watu wa kwao?
 
Anayoyasema pengine hayakuhusu wewe na hayanihusu mimi. Yale yanayotuhusu siku zote husemwa kwa kiswahili. Anapokuwa na watu wake anakuwa huru kuwafikishia ujumbe utakaoeleweka moja kwa moja katika mantiki wanayoielewa.
 
Basi huu ujima ungekuwa unafanywa na Mhaya au Mchagga ungeona povu na mitusi mipropoganda uchwara (Wahaya ni wakabila, CDM ni chama cha wachagga, nk) ambayo ingetoka mtaa wa Lumumba, ungekimbia. Lakini kwa vile hii ni kuhusu Wasukuma hapo ni sawa hakuna ukabila. Huo ni utaifa. I love CCM.

..sasa hivi wanawatumia tu wasukuma ili wapate kura.

..Magufuli atakapotoka madarakani usijeshangaa wakawatupa mkono wasukuma na kanda ya ziwa.

..nakumbuka mwaka 1994/95 John Cheyo alianzisha chama cha udp. Wakashinda vitu vya ubunge maeneo ya Bariadi.

..ccm walikiogopa sana hiki chama. Basi wakaanzisha propaganda za kibaguzi kuwa udp ni chama cha
wasukuma.

..leo hii ccm kuwakumbatia wasukumu na kumhimiza mwenyekiti wao azungumze kisukuma imenikumbusha propaganda za mwaka 94/95.

Cc Nguruvi3, The Boss, MsemajiUkweli
 
Mkuu, hawa ni wale watoto wa mwisho mwisho kuzaliwa ocean road. Ni matunda ya ugali wa yanga tuliokula enzi zile za uhujumu uchumi kuelekea 1985.
Huna akili mtu anagawa taifa wewe unajikomba nchi hii sio ya mama yake Kama amechoka aondoke sio kuturudishia ukabila kwanza anatumia kodi zetu kuzurura na kutukana wananchi huko
 
Na kweli hao wanaozungumza wana njaa kweli? duh! sidhani kama watu wanajua njaa katika jamii ni nini hasa... wananikumbusha kisa cha mtoto alielia "mbwa mwitu mbwa mwitu"...
Mwanakijiji huku Tanzania kuna upungufu mkubwa wa chakula kwa sasa na hivyo kusababisha tatizo LA njaa seriously kwa baadhi ya maeneo kwa sababu ya uhaba mkubwa wa mvua kwa sasa. Ukame umetamalaki na mifugo inahali mbaya. Leo nimepita maeneo ya Kilosa hali ya mifugo sio njema hasa ng'ombe na Ardhi ni kame mno..wananchi hawana akiba ya chakula wengi wao na Yale machache bei yake iko juu sana. Kifupi njaa inapiga hodi kwa waliobaki ila wengi wao hawana resources kubadilisha au kununua chakula kwa walionacho.

Ufahamu tu na najua wafahamu TZ huku wakulima wadogowadogo wanategemea sana mvua kilimo chao na si kitaalam kabisa. Hivyo wanachovuna ndio wanatumia wanauza kwa ajili ya matumizi hao ya kawaida baada ya kuuza pia chakula. Shida ikizidi mara zote huuza hata akiba kuweza kusaidia familia. Wajua hilo sana. Nakuhakikishia njaa IPO kwa idadi tosha tu vijijini. Wa shauri walio Bongo huku hasa viongozi wetu njaa sio siasa ni ukweli kabisaa..
 
Maskini akishajifikiria ni maskini, akakubali kuonekana maskini na akajikubali kuwa yeye ni maskini basi hata yeye mwenyewe atajitendea na atajionesha kuwa ni kimaskini...
 
..wanawatumia tu wasukuma ili wapate kura.
..Magufuli atakapotoka madarakani usijeshangaa wakawatupa mkono wasukuma na kanda ya ziwa.
..nakumbuka mwaka 1994/95 John Cheyo alianzisha chama cha udp.
..ccm walikiogopa sana wakaanzisha propaganda ni chama cha wasukuma.
..leo hii ccm kuwakumbatia wasukumu na kumhimiza mwenyekiti wao azungumze kisukuma
Ninapata tatizo na mwelekeo wetu
1. Hii habari ya kuongea lugha za asili inazidi kugawa wananchi.
2. Kupita na kushukuru wapiga kura naona ni katika kampeni wakati uchaguzi umekwisha

Kuna tatizo la washauri wake au vinginevyo. Ifike mahali aandaliwe hotuba ili kuepuka hoja za kikabila

Rais alipotangazwa aliwashukuru Watanzania, sasa ni Rais wa Watanzania wote.

Kupita na kushukuru kwa kumpigia kura ni kampeni wakati anasema kampeni zilikwisha
Hotuba moja tu inatosha si lazima kupita kila siku 'kushukuru' badala ya kuongelea hoja

Wengine hawaruhusiwi kuzungumza na wapiga kura kwasababu kampeni zimekwisha

CCM ni wazuri wa kuzua na kuzipa hoja miguu bila kujali madhara ya siku za baadaye
Waliazusha CUF ni chama cha kidini, wwakahamia Chadema ni cha wachagga, halafu ikahamia chama cha kanda ya kaskazini. Na kulikuwa na UDP aya wasukumua

Haya yote si kuwa yanabomoa utaifa bali yameanza kuwarudi.

Unaona anavyo nasibishwa na ukanda.Ziara za kawaida tu zinaangaliwa kwa jicho hili.

Ukichanganya na matumizi ya lugha za makabila hali inazidi kuwa mbaya zaidi

Huko CCM hakuna mtu anayeweza kuona na kulisema hili?
 
Mdau: "Njaa baba".

Magufuli: "Sasa nisikilizeni nizungumze nimalize niondoke"

Magufuli: "Njaa unataka nikakupikie mimi Chakula"

:D:D:D:D:D
 
Back
Top Bottom