The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 5,897
- 19,080
Ukisikiliza hotuba za mh rais kila mahala anasisitiza Tanzania ni nchi tajiri yenye kila kitu lakini yeye lengo lake sisi wanachi tuishi kimasikini.
Magu anasema anataka wanaoishi kama malaika waishi kama shetani, yaani wanaolipwa mishahara mikubwa ipunguzwe waishi kama mashetani wanaolipwa mishahara midogo, ukilipwa mshahara mdogo wewe ni shetani na rais anapenda uishi hivyo hivyo.
Ni ajabu rais anapenda wanachi wake waishi maisha magumu kama ya shetani. Kuishi kimasikini kwenye nchi tajiri ni jambo la ajabu kweli kweli.
Ok, akishawapunguzia wenye mishahara mikubwa waishi kama sisi mashetani wenye mishahara midogo nini kitafuata?
Nimesikitika sana kwa sisi wenye mishahara midogo kufananishwa na shetani, maisha yetu yanayotokana na mishahara midogo kumbe ni maisha ya kishetani na rais anayapenda.