Magreat Thinkers ninaowafeel...........


Wiselady ingia uwanjani,PJ anakutoa thamani
Utungo wako yakini, utamshinda wa kungwini
Ulotulia safiini, mistari iyosheheni
Hazina usiifiche. Wiselady jumuika......
 
Firstlady, Invisible, Mwanakijiji, Afrodenzi, Shosti, bujibuji, preta mpo wapi wajameni???????????????? leteni voco basi!
 
Kimyaaaaaaaaaaaaaa inaonyesha watu wanaogopa sana tenzi lol
 
Du mkuu uko vizuri, vina vimetulia.
 
Aisee ngoja nikakariri mistari, nikujibu kishairi.

Kwa sasa wacha nikugongee senksi kwanza.

BRB!
 
Aisee ngoja nikakariri mistari, nikujibu kishairi.

Kwa sasa wacha nikugongee senksi kwanza.

BRB!


Mpwa unascandal kubwa! Kamera ya Salamanda imekumulika. Kwa kukufichia aibu inabidi utununulie ulabu kikao kitakuwa pale samaki samaki ukisiponya hivyo picha na mikanda vitarushwa JF News.
 
Na mimi usinisahau kwenye mistari ijayo...


Mhandisi Nsiande
 

Mkuu nimekukubali wewe mkali hats off! Easy na Wozoza
 
Im speechless ndugu!
You rock! Muda uliotumia na akili uliyoweka kutoa utenzi huu si mchezo.Keep it up.
 
GT wake mdogodogo mwendo, wajulikana zamani
Mwendo usio vishindo, haufeli abadani
Asoweza huwa kando, awezae huwa ndani
 
Kwenye shairi lijalo usinisahau.japo sijui mistari
au mm hunifili?

Na wewe umo bibie

Zion Daughter Si wakuamsha daku,walo macho wameona
Hashindani na kuku,kula wanacho kiona
Wala havai kikuku,kuwaiga walonona
 
Im speechless ndugu!
You rock! Muda uliotumia na akili uliyoweka kutoa utenzi huu si mchezo.Keep it up.

Na wewe umo pia

WomanOfSubstance
Na kama wapendelea, usitajwe hadharani
Kwa kuwa unahofia, mambo fulani fulani
Ninakuhakikishia, taweka siri moyoni
 
Na wewe umo pia

WomanOfSubstance
Na kama wapendelea, usitajwe hadharani
Kwa kuwa unahofia, mambo fulani fulani
Ninakuhakikishia, taweka siri moyoni

Bora iweke moyoni , hiyo siri mwana flani
Siri ibaki sirini, siyo tena hadharani
Hapo utaweza wini, ewe mtunzi makini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…