Picha inazungumza mengi. Kutokana na picha unaweza kusoma ni wanawake wa aina gani. Ukisikia uswazi full ndiyo huku.#MAGOMENI: WADADA WAPIGANA KISA UPATU
lengo la michezo ya upatu ni kuongeza kipato au kukuza biashara ya muhusika lakini mmoja wa wanachama anapotaka kuleta ujanja ujanja na kukwamisha malengo ya wengine kinachofatia huwa ni kipigo.
Tukio Hili Limetokea maeneo ya Magomeni ambapo Dada Mmoja inasemekana Hakutoa pesa ya upatu ya mwenzie ndipo ugomvi huo ulizuka na kuzua taflani katika wakazi wa maeneo hayo.
View attachment 1171500
Nashangaa nimetumiwa video whatsapp bila ata kujua kumbe upatu
HAHAHAAAAAAAA HOPE AWAJATAKATISHA PESAAA HAYOO MENGINE#MAGOMENI: WADADA WAPIGANA KISA UPATU
lengo la michezo ya upatu ni kuongeza kipato au kukuza biashara ya muhusika lakini mmoja wa wanachama anapotaka kuleta ujanja ujanja na kukwamisha malengo ya wengine kinachofatia huwa ni kipigo.
Tukio Hili Limetokea maeneo ya Magomeni ambapo Dada Mmoja inasemekana Hakutoa pesa ya upatu ya mwenzie ndipo ugomvi huo ulizuka na kuzua taflani katika wakazi wa maeneo hayo.
View attachment 1171500
Weka hiyo videoNashangaa nimetumiwa video whatsapp bila ata kujua kumbe upatu
Kuku wa kienyeji
#MAGOMENI: WADADA WAPIGANA KISA UPATU