Grand Master Dulla
JF-Expert Member
- Jul 20, 2012
- 411
- 152
kwa wale wakazi wa asili wa kinondoni si mnakumbuka kitu kinachoitwa magoma moto enzi hizo miaka ya 80 tukumbusheni jamani mambo yake.

Club miaka ya 80!