Mimi tangu nimeoa 94' natumia ya Dodoma na nimepata wtt wanne wote wa kiume kupitia kwayo! Hadi nimefikiria lbd nikibadili matres za Dom naweza pata female gendar babies! Hebu 2subiri waliokwisha 2mia ya AR wanaweza kuja na comments!Tofauti ni kwamba ukiwa na comfy ni UTALALA FOFOFO.
hivi ubora wa magodoro ya comfy ukoje?? Vp kulinganisha na magodoro ya dodoma
Mkuu tafuta godoro la pamba
Mkuu tafuta godoro la pamba
Okay mkuu... Thankxmkuu mimi nakushauri pata godoro la vita foam but liwe orthopedic, specially made for strong back support, ni ligumu gumu kidogo, but its the best foe your sleep and ur mgongo, na lina dumu sana,,, remember - orthopedic
Mkuu, la pamba sio zuri kama lile lililojazwa matambara. Kiwanda kiko pale msamvu roundabout ukielekea morogoro town. Zamani walikua wanaweka sufu, ilipokuja recycling wakawa wanajaza matambara. Ni gumu na linadumu maisha yote kama sio kikojozi
Yaap,napafahamu,ukitoka kipita shoto cha msamvu kuelekea mjini hawa wataalam wapo kushoto kwa barabara.Mkuu, la pamba sio zuri kama lile lililojazwa matambara. Kiwanda kiko pale msamvu roundabout ukielekea morogoro town. Zamani walikua wanaweka sufu, ilipokuja recycling wakawa wanajaza matambara. Ni gumu na linadumu maisha yote kama sio kikojozi
hivi ubora wa magodoro ya comfy ukoje?? Vp kulinganisha na magodoro ya dodoma
Mkuu usije ukanunua hayo magodoro mimi mpaka leo najuta kila siku naumwa mgogo kwa sababu katikati ya godoro ni kama shimo unatumbukia wakati miguuni na kichwani kumeinuka. Hapa najipanga kununua tanfoam ambalo hata muuzaji aliyeniuzia alinishauri tangu mwanzo nikamkatalia kwa kufata mkumbo. Nimekoma
...Tuko pamoaja mwanawane...ni full utulivu hakuna kuyumba yumba kama mlo unaupatia hapo dah!! hakwepeshi mtu....Mkuu tafuta godoro la pamba
Mkuu tafuta godoro la pamba