Magodoro ya kichina | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Magodoro ya kichina

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kivumah, Jul 2, 2010.

 1. Kivumah

  Kivumah JF-Expert Member

  #1
  Jul 2, 2010
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 2,413
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Wakuu jana katika Taarifa ya habari nimeona Wachina wamekuja na mpya.This time wamekuja na Magodoro yenye spring(built in). wanadai ni mazuri kwa wenye matatizo ya kiuno. hii imekaaje wakuu???? by the way yanapatikana sabasaba ground
   
 2. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #2
  Jul 2, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,300
  Likes Received: 22,089
  Trophy Points: 280
  Magororo tu kama mengine, ila spring zake ni za plastic
   
 3. tanga kwetu

  tanga kwetu JF-Expert Member

  #3
  Jul 2, 2010
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 2,165
  Likes Received: 1,124
  Trophy Points: 280
  .......tunavyopapatikia vitu imported, ndio by bye DODOMA PLYFORM, BANCO PLYFORM, etc made in Tanzania
   
 4. B

  Bawa mwamba JF-Expert Member

  #4
  Jul 2, 2010
  Joined: Mar 19, 2010
  Messages: 351
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  NI MAZURI KWA MGONGO KWELI NA SIO UONGO ,.NA HATA KWA KUFANYIA MAPENZI ,..HUKU NIMETUMIA MIAKA KIBAO,.NI TOFAUTI NA SPONJI ZETU ZA BONGO,..,kama spring zake ni za plastic basi ni maendeleo
  beleave me Ion and steel are expensive.,../
  kila mara nikiingia bongo likizo ,marafiki zangu na jamaa wamekuwa wananishambulia kuhusu vitu vya China.,.lakini jibu ni moja tu.,.Je ulikinunua hicho kitu kwa SH,.ngapi?,.MFANO DVD,.inayouzwa kwenye electronic shops,.Say samsung CHINA ,.au sonny bei iliyo ya chini ni 60 us$.,na kiwanda kipo mji huo huo..na guarantee ni miaka minne ,.
  lakini ukizungukia maduka mengine zipo za dola 20 mpaka 30,.na kabla ya kununua ,.muuza duka anakuambia ungependa kuitumia kwa siku ngapi?na anakuchagulia yenye siku zinazokaribiana na ulivyosema ,..lakini at your OWN risk,..
  sasa tutue akili duka la kampuni linauza kwa dola 60 $,.bongo bidhaa hiyo hiyo ni elfu thelathini,.we unategemea nini,.na wauza maduka wote ukiwauliza gerentee wanakwambia hamna mzee si mwenyewe unacheki bei..//NENDA KARIAKOO uone.,.
  KUNA kampuni INAITWA MIDEA,.NA NYINGINE GREE ,,hizo ni za umeme,.NIlinunua FRIJI , A/c na DVD kutoka KWAO,M hapo hapo bongo,.babu guarantee ni miaka sita,[unapewa guarentee na registration yako ipo online].Nikaweka nyumbani kwa wazazi,.mpaka leo vinadunda huwezi amini huu ni mwaka wa nne,..bila tatizo lolote,,
  TATIZO letu wa TZ.,..ni kupenda Brand bila kuuliza guarantee ,.suala ni kujua je unaihitaji hiyo bidhaa kwa muda gani,.vya bei ya chini kuwa makini navyo vingi si vizuri,...
  Tujifunze kutofautisha kati ya Disposable na vitu vya kudumu,..ushauri wa BURE ..,angalia bei ya kitu kwenye NET kabla ya kununua,..JIWEKE fungu la maamuzi ya bei Halafu nenda kanunue,..omba na guarantee la sivyo ndio mambo ,.ya kununua SUTI Disposable kwa bei ya chini halafu baadaye tunalalamika.,.....
  tembea uone au jifunze kwa wenzio
   
 5. Ilumine

  Ilumine Senior Member

  #5
  Jul 4, 2010
  Joined: Dec 27, 2008
  Messages: 196
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni kweli, sasa ni zama za mchina. Hatuwezi kuwakwepa, kwani wanayo mema na yale yasiyo mema. Inatubidi kuwa makini na kuwa waangalifu katika kufanya uchaguzi wa bidhaa.
   
 6. minda

  minda JF-Expert Member

  #6
  Jul 5, 2010
  Joined: Oct 2, 2009
  Messages: 1,070
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  time will tell. let us just wait and see.
   
 7. M

  Majala Kimolo JF-Expert Member

  #7
  Jul 6, 2010
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 344
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Tabu yetu ni kuwa wabaguzi bila kujijua. Hivi bidhaa zetu ngapi ni za kiwango? Wachina ni marafiki zetu toka zamani, reli, nguo na mpaka zana za kilimo kwanza ni wao walituwekea, huko Ulaya pia wanatumia vya kutoka China. Nasahauri tujiulize kwanza ni wangapi hapa TZ ni binadamu wa kudumu, sote ni fekifeki, maisha tunayoishi hayalingani kabisa na mishahara yetu, vyakula tumekulia viporo mpaka leo, hata ukienda kwenya mahoteli yetu makubwa (Fridge ndo hifadhi yake na sio "KAWA"). Tujipange badala ya kulaumu. Hujalazimishwa kununua, kama hutaki nenda kanunue mkeka wa Mafia au lalia ngozi ya Morogoro
   
 8. Tonge

  Tonge JF-Expert Member

  #8
  Jul 6, 2010
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 696
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Yatakuwa poa hayo kwa kukatikia kiuno, so bei yake ni kiasi gani na sisi wa mbali tuyapate.
   
Loading...