Magodoro mazuri

Magodoro mazuri

VIta Supreme yenye Density ya 28, Au Godoro lolote Density iwe 28 hutojutia Mzazi
 
Kuna sehemu nilienda nililalia Hilo godoro kama nimelalia tofali🙌,

Nikatoa shuka kutizama kama kweli nimelala kwenye godoro au wamepanga tofa🙌
Yapo yale ni very expensive kwa ajili ya ku protect mgongo zamani GSM alikua anayauza.
 
Back
Top Bottom