✨️Magical Day ✨️

Astghafirullah 😳
 
Au mimi sipo duniani, mbona haya mambo sijawahi kutukukutana nayo kabisa!!!!!!. 😒😒😒
 
Be your self don't fvck to anybody

I ze key just fvck to your doom
 
 
Reincarnation of binti wa zamani
 
Ila me nina wasi wasi kuwa , yawezekana leo umepandishwa mlima kilimanjaro zaidi ya mara tatu. Hivyo unayo furaha isiyo na kifani.. 😃😃.

Sema ukweli 🤨🤨!!
Hakuna wala
Nimekumbuka tu hiyo magical day maana kuna kibaridi na huyo mkali wa magical hayupo 😭😭
 
Wengine daily ni magical day!!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…