Siyo kujaribu ila dawa inunuliwe ya kuzizimua ipuliziwe kila zitakapotunzwa na pia wapiga kuwa karatasi wazikunje kwa nyuma na iwe mara mojaDaah hyo Ni shdaah, inabidi karatas zijarbiwe kwanza..
mimi ni mpinzani ila wewe ni muigizaji wa upinzani. Ujue kutofautisha hayo mambo mawili. hatuwezi kuwa sawa hata siku moja.Na wewe leo mpinzani? Kweli hizi ni akili za abunuwasi, subirini kifo chenu october 25.
mimi ni mpinzani ila wewe ni muigizaji wa upinzani. Ujue kutofautisha hayo mambo mawili. hatuwezi kuwa sawa hata siku moja.
Mastermind aliemweka JK yupo kwetu
Nenda ukanye she.nzy typ janaume la kunya kunya! Mafindo a-noko nkoyi!! Wewe hujitambui hakika, choka mbaya na wewe unashabikia ma-ccm? AibuuuuuuuuuuuuuuHahaaaaaaaaaa mtaisoma tu namba tafuteni kila aina ya sababu. Professa wenu wa Cuf aliyewakimbia, uchaguzi uliopita ulikuwa na uzushi kama akaahidi atakwenda Uchina kufuatilia hadi leo kimyaaaa. Mlisema Ccm haina watu sasa mnaumbuka na sasa mnaanza kutafuta sababu. Fankuuuuro malofa na majuha. Hamna maana hata shilingi moja mmekodi watu kutafuta ushindi,tuliwaambia hamna manpower nyie,lakini as ussually viroba mnaendeshwa kwa remote
Hiyo ni kazinya kampuni moja ya Israel iitwayo Nikuv International Project.Umeshasikia kuhusu magic votes ? Huku kwetu mnaita kura za maruhani ni wizi wa kura kutumia karatasi maalum zilizoandaliwa sawa na za kupigia kura lakini ziko kitecnologia zaidi ziliwahi Kuleta scandal na kugunduliwa kutumika Israel na Kazakhstan.
Hizi karatasi zinaprintiwa kama zingine zikiweka majina ya wagombea na vyama vyao lakini tiki au Alama ya vema ya siri inakuwepo kwenye sehemu ya mgombea aliyeandaliwa karatasi hizo lakini haiwezi kuonekana mpaka karatasi ikunjwe na kukosa kiasi flani cha oxygen ndipo chemical maalum zinareact hivyo ile tiki iliyowekwa kujitokeza pale ilipokusudiwa.
Pia tiki nyingine iliyowekwa kwa kalamu ya wino ikireact na hiyo kemicali hupotea nilioneshwa China sample yake nikashangaa na kuelewa.
So chama kikiimpozi karatasi kama za million tano kwa ajili ya uchaguzi wa Urais wanna kuwa na uhakika wa kura million tano haiwezi kuharibika Wala kuchagua vinginevyo .
Please buyer be aware.
Na wewe ni mpinzani? Labda mpinzani wa yule jamaa anayekugongea mkeoukweli ni kwamba wapinzani tumepoteana. tuanze upya. hatuwezi shinda tukiwa vipande vipande. leo hii Zitto yuko kivyake na kundi lake, Prof Lipumba yupo likizo ya wazi, Dr. slaa yupo likizo ya kimya.
single ya ufisadi tumeizika rasmi, halafu tunatarajia tushinde? huu kama sio ulofa ni nini?
nimeipenda hii. siunakua kwenye kichumba bhana peke yako?
tofauti yangu mimi na wewe ni kuwa mimi ni mpinzani na wewe ni muigizaji wa upinzani. endelea kuigiza.Na wewe ni mpinzani? Labda mpinzani wa yule jamaa anayekugongea mkeo