Magic papers na namna kura zinavyoibwa

Magic papers na namna kura zinavyoibwa

kimpango

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2011
Posts
600
Reaction score
717
Umeshasikia kuhusu magic votes ? Huku kwetu mnaita kura za maruhani ni wizi wa kura kutumia karatasi maalum zilizoandaliwa sawa na za kupigia kura lakini ziko kitecnologia zaidi ziliwahi Kuleta scandal na kugunduliwa kutumika Israel na Kazakhstan.

Hizi karatasi zinaprintiwa kama zingine zikiweka majina ya wagombea na vyama vyao lakini tiki au Alama ya vema ya siri inakuwepo kwenye sehemu ya mgombea aliyeandaliwa karatasi hizo lakini haiwezi kuonekana mpaka karatasi ikunjwe na kukosa kiasi flani cha oxygen ndipo chemical maalum zinareact hivyo ile tiki iliyowekwa kujitokeza pale ilipokusudiwa.

Pia tiki nyingine iliyowekwa kwa kalamu ya wino ikireact na hiyo kemicali hupotea nilioneshwa China sample yake nikashangaa na kuelewa.

So chama kikiimpozi karatasi kama za million tano kwa ajili ya uchaguzi wa Urais wanna kuwa na uhakika wa kura million tano haiwezi kuharibika Wala kuchagua vinginevyo .

Please buyer be aware.
 
Hizi habari za kueana taarifa mwisho wake ni Leo .... Yaaani Ccm Mungu atailaaani . yote haya yana mwisho
 
Angalizo murua.Viongozi wa UKAWA mjiridhishe bila kuacha shaka yeyote.
Ukute ndio sabuni/mafuta ya bao la mkono!
 
Hahaaaaaaaaaa mtaisoma tu namba tafuteni kila aina ya sababu. Professa wenu wa Cuf aliyewakimbia, uchaguzi uliopita ulikuwa na uzushi kama akaahidi atakwenda Uchina kufuatilia hadi leo kimyaaaa. Mlisema Ccm haina watu sasa mnaumbuka na sasa mnaanza kutafuta sababu. Fankuuuuro malofa na majuha. Hamna maana hata shilingi moja mmekodi watu kutafuta ushindi,tuliwaambia hamna manpower nyie,lakini as ussually viroba mnaendeshwa kwa remote
Ndio but you cant see it ikitokea ukaweka tiki ya peni kwa mgombea huyo itajifuta bt if you use non ink materia kwa mgombea wako kura itakuwa na tick mbili na always huwex kutumia pencil kwa kura
 
Kiongozi akiingia madarakani kwa WIZI ataendelea kuiba hata akiwa madarakani.

Wote tumeona nini kilitokea 2010 and aftermath. WIZI ni sawa na kula nyama ya mtu, huwezi kuacha kamwe.
 
na kumbuka kalenga mlisafirisha mpaka wasimamizi wa kura kutoka arusha wakiongozwa na lema mkaambulia 20%

Umeshasikia kuhusu magic votes ? Huku kwetu mnaita kura za maruhani ni wizi wa kura kutumia karatasi maalum zilizoandaliwa sawa na za kupigia kura lakini ziko kitecnologia zaidi ziliwahi Kuleta scandal na kugunduliwa kutumika Israel na Kazakhstan hizi karatasi zinaprintiwa kama zingine zikiweka majina ya wagombea na vyama vyao lakini tiki au Alama ya vema ya siri inakuwepo kwenye sehemu ya mgombea aliyeandaliwa karatasi hizo lakini haiwezi kuonekana mpaka karatasi ikunjwe na kukosa kiasi flani cha oxygen ndipo chemical maalum zinareact hivyo ile tiki iliyowekwa kujitokeza pale ilipokusudiwa pia tiki nyingine iliyowekwa kwa kalamu ya wino ikireact na hiyo kemicali hupotea nilioneshwa China sample yake nikashangaa na kuelewa.so chama kikiimpozi karatasi kama za million tano kwa ajili ya uchaguzi wa Urais wanna kuwa na uhakika wa kura million tano haiwezi kuharibika Wala kuchagua vinginevyo .please buyer be aware
 
Daah hyo Ni shdaah, inabidi karatas zijarbiwe kwanza..
 
ukweli ni kwamba wapinzani tumepoteana. tuanze upya. hatuwezi shinda tukiwa vipande vipande. leo hii Zitto yuko kivyake na kundi lake, Prof Lipumba yupo likizo ya wazi, Dr. slaa yupo likizo ya kimya.
single ya ufisadi tumeizika rasmi, halafu tunatarajia tushinde? huu kama sio ulofa ni nini?
 
hiyo ni rahisi kugundua coz hizo ticks zitakuwa printed. pia zitakuwa za aina moja tu na wino mmoja. hata kama ni tick watu 10 hawawezi kufanana exactly
 
Ha ha ha ha ha mtahaha sana Na matumbo joto, ikulu ni ya Magufuli hatuna mpango wa kuiba kuraa
 
ukweli ni kwamba wapinzani tumepoteana. tuanze upya. hatuwezi shinda tukiwa vipande vipande. leo hii Zitto yuko kivyake na kundi lake, Prof Lipumba yupo likizo ya wazi, Dr. slaa yupo likizo ya kimya.
single ya ufisadi tumeizika rasmi, halafu tunatarajia tushinde? huu kama sio ulofa ni nini?

Na wewe leo mpinzani? Kweli hizi ni akili za abunuwasi, subirini kifo chenu october 25.
 
Back
Top Bottom