magic money (dark african magic.)

Barbarick

Member
Feb 16, 2014
7
2
kama una ujasiri wa hali ya juu na unataka kupata pesa(magic money) sio blood concern ni nguvu tu.physic power, utapata kiasi cha pesa unachotaka ni pm nikupe maelezo ya kuamusha physic power yako.
 
Kama wewe si tapeli la kutaka kuku mweusi na sisimizi mwenye mimba, weka mambo hadharani?
Kwani siri?
 
Weka mambo hapa bana... Ujue pesa sabuni ya roho eeh??

Kama no Physic power funguka mkuu kama ambavyo akina juve na Pasco wanavyofunguka!!
 
Last edited by a moderator:
Jamaa naona unataka kukamata fursa!Wamo wengi sana humu ni kama mjini tu,wajinga huwa hawaishi ndio maana kila uchao watu wanaliwa kekundu

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Tapeli mkubwa, kwanini usigange mwenyewe, daktari wa kweli anajiganga, mnaleta mautapeliyenu humu ndani kuwaibiwa watu, wapuuzi kabisa...
 
kwa asiyeamin DARK MAGIC na physic power tafadhali acha kudharau tunaoamin hilo,sitaweka kila kitu hapa maana sifanyi biashara,natoa ujuzi ukafanye mwenyewe hukohuko uliko,u wil c hanges.(sio mambo ya kafara,HAPANA)
 
kwa asiyeamin DARK MAGIC na physic power tafadhali acha kudharau tunaoamin hilo,sitaweka kila kitu hapa maana sifanyi biashara,natoa ujuzi ukafanye mwenyewe hukohuko uliko,u wil c changes.(sio mambo ya kafara,HAPANA)
 
Tapeli mkubwa, kwanini usigange mwenyewe, daktari wa kweli anajiganga, mnaleta mautapeliyenu humu ndani kuwaibiwa watu, wapuuzi kabisa...

wewe hustahili kujibiwa soma kwanza ujue dunia sio kuropoka kila jambo hata
 
we masopakindi ushajiweka wewe ndio mtalaamu,hizo hbr za kuku mweusi,fisi,makengeza ya mbu,nani kasema hayo.unachohitaji ni kufuata maelezo kama huwezi baki hivo hivo ule salary yako tu.wenye ujasiri wa kuthubutu tumepiga hela,na bila uchoyo tunatoa
 
Upatikanaji wa pesa ni Kanuni tu..., ingawa kuna njia illegal (wizi na utapeli) ila legally ni kutoa huduma au bidhaa (kwa ujira) na ukitaka kutajirika ni kuzalisha pesa (investment) na reinvestment..., faida unayopata una-reinvest tena na tena na tena........ mchezo unajirudia to infinity..

Mengine yote ni distractions na kupoteza muda
 
Acha wizi kijana.

Kama una ujuzi wa kupata pesa waelekeze ndugu zako wote watajirike kwanza.

Unaanzisha uzi ukiwa umelewa viroba na maji ya chooni. Nyau we!
 
kama una ujasiri wa hali ya juu na unataka kupata pesa(magic money) sio blood concern ni nguvu tu.physic power, utapata kiasi cha pesa unachotaka ni pm nikupe maelezo ya kuamusha physic power yako.
Mkuu Mla nyama za watu (Barbarick), nguvu zipo, na tumepewa na Mungu bure na kwa uwazi ili kuzitumia nguvu za Mungu ni freely na unconditional!, ila shetani naye yupo, na pia anazo nguvu ambapo ili kuzitumia ni conditional!, lazima ufuate masharti fulani kama zilivyo secret societies zote!. Kitendo cha kuwe condition tuku TP, hii ndio dalili ya kwanza kabisa na ya awali, unachotaka kutuletea ni ushetani!.

Nakushauri kama sio ushetani, mwaga kila kitu hadharani!. Tembelea uzi wangu huu kuhusu [h=3]Psychic Powers: Ni Nguvu za Kufanya Miujiza. Wengi wanazo!.[/h]nimeweka kila kitu hadharani mpaka namna ya kutengeneza uchawi etc, mtu awe huru kuisikiliza dhamira yake na kuamua kufuata au laa!.

Shetani mara nyingi huutumia udhaifu wa mtu ili kumwingia kirahisi!, mfanio umeishaishajua Watanzania ni masikiti wa kutupa!, wengi shida yao kubwa ni pesa!, hivyo namna rahisi ya kuwaingia ni kuwaahidi pesa, utajiri etc!.

Hata Yesu, baada ya kufunga usiku na mchana bila kula kwa siku 40 uakiwa na njaa, shetani ndipo alipomjaribu kwa ahadi ya kumshibisha soma Mathayo 4: 1 -11:"Kisha Yesu akapandishwa na Roho nyikani, ili ajaribiwe na Ibilisi. Akafunga siku arobaini mchana na usiku, mwishowe akaona njaa. Mjaribu akamjia akamwambia; Ukiwa ndiwe mwana wa Mungu, amuru kwamba mawe haya yawe mikate. Naye akajibu akasema, Imeandikwa, Mtu hataishi kwa mkate tu, ila kwa kila neno litokalo katika kinywa cha Mungu"

Pasco
 
Back
Top Bottom