Maggid ana nini na CDM?

Maggid is the coolest guy who happens to reason with low minded people. Kama huelewi tafsiri tuwasiliane ipo ya kiswahili, kihehe na kijapan na wale wapendao spaniola nitafuteni basi.

Mbona umekopa ubongo wa MBOGO ndugu?....kama thread haikufurahishi uko huru kutochangia au kuicha kabisa
 

we kijana koma kuwaongelea wahehe, kwanza maggid siyo mhehe sasa sielewi tatizo lako ni nini? Wahehe usicheze nao watakupa kibano mwanangu. Unaonekana unausongo wa laptop, sasa hao wahehe unao wasema wangeweza kukupa laptop kama ungekuwa na heshima. Lakini kwani wewe kinakuwasha nini mambo ya mtu ya binafsi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…