Mageuzi makubwa CCM

Mfumo ule ule watu n wale chama ni lile hakuna jipya!! Walipoimba wataisoma number wao walijitoa! Sasa Juma amewafumbia hadi chamani.....wanalia njaa.....na ameziba mianya.....ya chama kuchota
 
Walewale vichwa vilevile vikichoka vinahamia chadema kwenda kuleta mabadiliko!!
 
Ila mageuzi ndani ya chadema ni rahisi sana...Ndiyo maana yule mzee akawa mgombea mpaka kuweka chini yake kamati kuu yote ya chadema!
hata Nyerere alipokaribishwa kwenye chama cha TANU alipewa nafasi kubwa japokuwa kulikuwa na walioanzisha chama
 
hivi ww ni kipi cha maana ambacho chama chako.kimefanya ukiringanisha na raslimali tulizonazo kuanzia pale kilipoanza kutuongoza had leo ,kama sio uduvyaduvya tu,peleka huko li chama lenu lisilo na huruma kwa wananchi wake
 
Anayekula makande, mwingine ugali na mwingine uji - viini ni vile vile tofauti ni uandaaji tu. He he he he he he he!
Salakadi kwenye mwamba hsxifai
 
Ila mageuzi ndani ya chadema ni rahisi sana...Ndiyo maana yule mzee akawa mgombea mpaka kuweka chini yake kamati kuu yote ya chadema!
Mageuzi CCM ni rahisi zaidi kwani Mwenyekiti anaweza kwenda na majina mfukoni Dodoma akadharau kamati kuu na kutoa majina yake aliyoandikia anakojua yy.
 
hivi ww ni kipi cha maana ambacho chama chako.kimefanya ukiringanisha na raslimali tulizonazo kuanzia pale kilipoanza kutuongoza had leo ,kama sio uduvyaduvya tu,peleka huko li chama lenu lisilo na huruma kwa wananchi wake
Pesa za CCM zote anakula Lipumba kwa sasa
 
mahakama ya mafisadi ni kwa ajili ya kufugia popo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…