Mchaka Mchaka
JF-Expert Member
- Jul 20, 2010
- 4,516
- 1,404
Jeshi limejipanga kwa uhuni wa aina yoyote mtakaojaribu kuufanya. Mtakula mkong'oto.
Kwa hiyo wewe unafurahi sana watu wakila mkong'oto pasipo na ulazima?Jeshi limejipanga kwa uhuni wa aina yoyote mtakaojaribu kuufanya. Mtakula mkong'oto.
Kinachoniudhi CCM na serikali yake hawana cha maana wanachokifanya halafu wanataka wapendwe, watapendwaje sasa hapo kama si ujinga. Hebu jiulize ikiwa umeoa halafu hutoi huduma umafikiri ndoa itakuwa na amani kweli hapo! Ili serikali ya CCM iheshimike iache blah blah na ndipo hata viongozi wake hawatakuwa na wakati mgumu wa kuongoza.huyu mkurya anajidanganya ajui kikwete kamuingiza mjini kwa kumoa mkoa ambao watu wake walishaikata ccm muda mrefu sana na wao ni nchi inaitwa arusha
Jeshi limejipanga kwa uhuni wa aina yoyote mtakaojaribu kuufanya. Mtakula mkong'oto.
Wakuu naomba kuuliza, Hv huyu mteule wa m.kwere hapa ARA, mbona amekuwa kero anataka kutucontrol wazawa?
Ngoja mbunge wetu atoke keshokutwa! ile ya mbeya itakuwa cha mtoto! lazima ajue ARA sio mahali pa kufanya haya anayofanya ss!
Jeshi limejipanga kwa uhuni wa aina yoyote mtakaojaribu kuufanya. Mtakula mkong'oto.
Jeshi limejipanga kwa uhuni wa aina yoyote mtakaojaribu kuufanya. Mtakula mkong'oto.
ARA ni wapi? Watu wa Arusha hatuna hulka ya kuchagua Shoga, ila hili lishoga limeteuliwa na Shoga mwenzie. Arusha tulichagua Jembe la kufa mtu. God bless Lema!
Wakuu naomba kuuliza, Hv huyu mteule wa m.kwere hapa ARA, mbona amekuwa kero anataka kutucontrol wazawa?
Ngoja mbunge wetu atoke keshokutwa! ile ya mbeya itakuwa cha mtoto! lazima ajue ARA sio mahali pa kufanya haya anayofanya ss!
Jeshi limejipanga kwa uhuni wa aina yoyote mtakaojaribu kuufanya. Mtakula mkong'oto.
Jaribuni mkione cha mtemakuni wapuuzi nyie. Nyie mnadhani nchi hii ni ya kuonyesha mlivyokosa malezi na umahiri wenu wa kula mibangi! Na ninatamani huyo mvuta bangi mwenzenu Hakimu amkatalie dhamana.
Tumia akili kufikiri,masaburi kazi yake ni kutoa mavi,jitambue wewe!Jaribuni mkione cha mtemakuni wapuuzi nyie. Nyie mnadhani nchi hii ni ya kuonyesha mlivyokosa malezi na umahiri wenu wa kula mibangi! Na ninatamani huyo mvuta bangi mwenzenu Hakimu amkatalie dhamana.
Kama kweli wewe ni mzee kama jina lako lilivyo inaonekana umeshindwa kuona mawingu ya mvua badala yake unaanika unga nje kisha unaelekea kazini.Jeshi limejipanga kwa uhuni wa aina yoyote mtakaojaribu kuufanya. Mtakula mkong'oto.
Inavyoonekana wewe ni wale wanaoona rangi nyeupe lakini wanakazana kusema ni nyeusi, nafikiri wana jf hakuna haja ya kupoteza muda na taipu hii ya watu, maana kwake kudai haki ni kukosa malezi na kula bangiJaribuni mkione cha mtemakuni wapuuzi nyie. Nyie mnadhani nchi hii ni ya kuonyesha mlivyokosa malezi na umahiri wenu wa kula mibangi! Na ninatamani huyo mvuta bangi mwenzenu Hakimu amkatalie dhamana.