Magesa Mulongo na mti upindao



mipango ya viongozi wetu huwa haieleweki maana hata OLE NJOOLAY ALIONDOLEWA KIAINA
 
Namtafuta sana nimuone akiwa hana cheo hata katiba wa shina....au katibu kata anakuwaje!!!?? Utakuta mpolee!!! ....arudi kwa JK awe House Boy atamuombea msamaha awe admin wa ofisi ya PM! La sivyo ataaibika mjini hapa! Sijui hata kama amejijenga hata pa kuishi!! Na dharau zake vile!! Utakuta hana hata kajumba.......wal pa kufikia!!! Asije akajiua....maana kama nyuma angejenga bagamoyo Alikaa kaaa kidogo!! Arusha na Mwanza hakuna kitu!! Mpuuzi sana!! Akiwa Bagamoyo alikuwa anakuja kila kumamosi salon Dar, !!! Anaenda pale BM kinondoni!! Mafuta bure muda......anakuja kunyoa! Nilikuwa sielewi!! Akija pale full masifa.....na majigambo!!!
 
..inategemea mti wenyewe unaopanda,kama mnene haupindi,....
 
Attention: Daudi Albert Bashite, Ali Happiness, Mrisho Gambo, Ole Sabaya, Jerry Muro

Alijua hatakufa maskini...
 
Zile habari zake za kutangulia mbele za haki naona zimefutwa.

Kifo hakina chama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…