Magereza wakana kumsukuma Lissu mahakamani

Magereza wakana kumsukuma Lissu mahakamani

Jeshi la Magereza limekanusha malalamiko ya CHADEMA na mawakili wa Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu kwamba alisukumwa mahakamani Julai 30, 2025 alipokuwa akitoka mahakamani.
Badala yake Magereza wamesema askari walikuwa wakimwelekeza kiongozi huyo kutoka mahakamani.
Taarifa iliyotolewa na Msemaji wa Magereza, Elizabeth Mbezi kupitia ukurasa wq Instagram wa jeshi hilo leo Agosti 2, imetetea pia uvaaji wa kininja wa askari magereza wanaomsindikiza Lissu.

View attachment 3428247
View attachment 3428249
Wanatuonaje hawa sisi wananchi?

Ndio mana yunataka reforms kuachana na upumbavu huu
 
Mpaka hii kesi inaisha naona kuna mambo yatatokea mabaya either kwa Hakimu, mawakili ,magereza au mtuhumiwa.
 
Barua kama kitabu
Halafu haina mashiko.
Enzi za mwalimu division four za mwisho ndio waliokua wanaajiriwa magereza. Why? Kwasababu ni kazi ambayo sio lazima uwe division one ndio uweze kuifanya vizuri. Actually walikua wanaangalia watu wenye maguvu zaidi.
Nadhani siku hizi huo utaratibu haupo.
 
Barua refuuuuuu kwakua wanatumia uongo kuhalalisha Ujinga walomfanyia Mh TAL
Siungi mkono alichofanyiwa Lissu, ila nakuuliza.

Ulitaka Uwe na page ngapi ili uone n ya kweli?

Ht ingekuwa fupi bado ungesema wameandika kwa ufupi mana hawana maelezo ya kutosha ya tukio hilo
 
  • Thanks
Reactions: UCD
Halafu haina mashiko.
Enzi za mwalimu division four za mwisho ndio waliokua wanaajiriwa magereza. Why? Kwasababu ni kazi ambayo sio lazima uwe division one ndio uweze kuifanya vizuri. Actually walikua wanaangalia watu wenye maguvu zaidi.
Nadhani siku hizi huo utaratibu haupo.
Andika na wewe yako.
 
Tumezoea wanapiga wafungwa na mahabusu mpaka makofi, sasa Lissu kusukumwa tu wanaba msamaha, who is Lissu 🤣
Screenshot_20250725-185609~2.png
 
Back
Top Bottom