Magereza wakana kumsukuma Lissu mahakamani

Parabolic

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2013
Posts
2,743
Reaction score
2,601
Jeshi la Magereza limekanusha malalamiko ya CHADEMA na mawakili wa Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu kwamba alisukumwa mahakamani Julai 30, 2025 alipokuwa akitoka mahakamani.
Badala yake Magereza wamesema askari walikuwa wakimwelekeza kiongozi huyo kutoka mahakamani.
Taarifa iliyotolewa na Msemaji wa Magereza, Elizabeth Mbezi kupitia ukurasa wq Instagram wa jeshi hilo leo Agosti 2, imetetea pia uvaaji wa kininja wa askari magereza wanaomsindikiza Lissu.

Screenshot_20250802_134929_Instagram.jpg

Screenshot_20250802_135054_Instagram.jpg
 
Jeshi la Magereza limekanusha malalamiko ya CHADEMA na mawakili wa Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu kwamba alisukumwa mahakamani Julai 30, 2025 alipokuwa akitoka mahakamani.
Badala yake Magereza wamesema askari walikuwa wakimwelekeza kiongozi huyo kutoka mahakamani.
View attachment 3428247
View attachment 3428249
Rubbish kwa hiyo wanabishia camera
 
Wamejibu kama watoto.Si kwamba askari magereza wote nchi nzima walimsukuma Lissu.Wangempa kalamu na karatasi yule aliyekuwa amevaa mavazi kama askari magereza wa Tanzania na kifuniko usoni ndiye ajibu kwa nini alimsukuma Lissu!
 
Video zinaonyesha amesukumwa au zinaonyeshaje?
Uhuru kamili ni uhuru wa kufikiri,wananchi wameona na wakafikia tamati kwa kufikiria kua mh.Lissu alisukumwa bila kujali hali yake ya mwili,ndiyomaana wakalalimikia kitendo kile.
 
Jeshi la Magereza limekanusha malalamiko ya CHADEMA na mawakili wa Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu kwamba alisukumwa mahakamani Julai 30, 2025 alipokuwa akitoka mahakamani.
Badala yake Magereza wamesema askari walikuwa wakimwelekeza kiongozi huyo kutoka mahakamani.
View attachment 3428247
View attachment 3428249
Safi kabisa anatakiwa afuate kanuni za ulinzi za Jeshi la Magereza akileta ubishi wanamlazimisha kufuata kanuni hizo. Shenzi type!! 🤣🤣
 
Jeshi la Magereza limekanusha malalamiko ya CHADEMA na mawakili wa Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu kwamba alisukumwa mahakamani Julai 30, 2025 alipokuwa akitoka mahakamani.
Badala yake Magereza wamesema askari walikuwa wakimwelekeza kiongozi huyo kutoka mahakamani.
Taarifa iliyotolewa na Msemaji wa Magereza, Elizabeth Mbezi kupitia ukurasa wq Instagram wa jeshi hilo leo Agosti 2, imetetea pia uvaaji wa kininja wa askari magereza wanaomsindikiza Lissu.

View attachment 3428247
View attachment 3428249
Kukaa kimya kungepunguza kuonekana wajinga, lakini Waraka huu mrefu iliojaa pumba umeonyesha mlivyo kusanyiko la Mazuzu.
 
Back
Top Bottom