Magazetini leo

Pamoja na yoote mtakayoandika, mi bado namkubali Mbunge wangu Freeman Aikael Mbowe
 
ali hassan mwinyi na hussein mwinyi, kikwente na kawambwa mtu na mpwa, kigholma malima na adam malima, vita kawawa na marehem mzee kawawa, marehem karume na karumes' endeleza orodha hii

Bahati mbaya au nzuri hao wabunge uliowataja ni wa majimbo., Kwa hy wametumia nguvu zao hadi kuupata...
 
kiumbe duni said:
CDM ipo
imara mpaka sasa sababu
haikuchukua watu ili mradi
kuirizisha jamii imechukia watu
makini wanaoaminiana na uaminifu
ni lazima uanzie kwa ndugu marafiki majirani halafu baadae ndio watu baki.
Kumbe ndo maana wamejaa wachaga
 
Hizi ni mbinu chafu za ccm kutaka kuwachafua vioingozi wa Chadema baada ya kuishiwa sera!! Sasa tukianza kuorodhesha ufuska wa viongozi wa ccm hapa itakuwa balaa, kwani wao huwapa vyeo vicheche wao ili wakiwa mikoani wawe na chakula rahisi!!
 

Kama Mheshimiwa Mbowe ni kidume namna hiyo anayewacharaza wadada kama kina Grace na Abwao basi CDM ina mtu sahihi. Je ungejisikiaje kama ungeambiwa mwenyekiti wako anapumuliwa kisogoni kama yule wa NCCR? Mbowe usijali wakijileta we charaza tu! Moto chini na hiyo ndiyo kazi ya wanaume!
 
Kwa nini uchafu huo hawakuuweka siku zote wanasubiri mpaka saizi. Kifupi si proper timing hata kidogo.
 

Nimeipenda hi. Mbona mkuu wa kaya anawacharaza hvyo, hata wewe mtoa mada kama ni he/she anaweza kukuchazara huwa anacheza kama striker au beki, pia kama una dada mzur hebu msogeze karib yake,baada ya 9month utakuwa na mpwa mwenye ubini wa wakwere
 

huyu dada ni changudoa wa kule kigamboni
 

Ila mimi mbona sioni shida,kwani kuna shida gani,mtu kuwa na mkwe wake kwenye chama kimoja?ama kuwa na dada yake
kumbe awe na nani?ninyi watu mmetumwa nini?kwanini mnapenda kuwanyooshea vidole wapinzani tu.kwani kwenye chama tawala hamkinyooshei vidole,kule watu wako baba,mama watoto,ukija kwenye nyadhifa hivyohivyo tatizo lako wewe ni kwa sababu umeona liko upinzani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…