Magazeti yetu na umakini wao! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Magazeti yetu na umakini wao!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kubingwa, Jan 16, 2012.

 1. K

  Kubingwa JF-Expert Member

  #1
  Jan 16, 2012
  Joined: Apr 23, 2010
  Messages: 502
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  [​IMG]
  Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Uratibu na Mahusiano na Mbunge wa Bunda, Bw. Stephen Wassira, akizungumza na umati wa wananchi wa mji wa Bunda hivi karibuni, wakati akifafanua hatua kwa hauta kuhusu mchakato wa mswaada wa katiba mpya ulivyofanyika hadi kusainiwa na Rais. Wa pili kushoto ni mbunge wa Musoma Vijijini Bw. Nimrod Mkono na Ofisa Tarafa ya Serengeti Bw. Justine Rukaka. (Picha na Nyakasagani Masenza wa Majira)
   
 2. Daffi

  Daffi JF-Expert Member

  #2
  Jan 16, 2012
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 178
  Trophy Points: 160
  Hakuna umakini wowote unaofanywa na waandishi na editors desk!picha haiendani na maelezo au kichwa cha habari haihusiani na maelezo nk!Waache kufanya kazi kwa pupa,haraka,na waongeze umakini!
   
 3. democratic

  democratic JF-Expert Member

  #3
  Jan 16, 2012
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 1,644
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  siku hizi wasira ni traffic au hilo kageuka gari?
   
 4. m

  mariantonia Senior Member

  #4
  Jan 16, 2012
  Joined: Jan 6, 2012
  Messages: 135
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  hilo gazeti la majira ni la vihiyo watupu
   
 5. M

  Molemo JF-Expert Member

  #5
  Jan 16, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Gazeti la majira hilo
   
 6. Mabagala

  Mabagala JF-Expert Member

  #6
  Jan 16, 2012
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 1,465
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  majira wamefikia huku siku izi? wanaelekea kuwa gazeti la udaku, mi nilifikri ni utani!
   
 7. Obe

  Obe JF-Expert Member

  #7
  Jan 16, 2012
  Joined: Dec 31, 2007
  Messages: 5,978
  Likes Received: 20,365
  Trophy Points: 280
  Majira imekwisha siku hizi, waache waumbuke na umbea wao
   
 8. andrewk

  andrewk JF-Expert Member

  #8
  Jan 16, 2012
  Joined: Apr 13, 2010
  Messages: 3,103
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  jamani hao majira mbona sisi wengine tuliacha kulisoma niupotosha kwenda mbele, ukienda upande wa siasa ndio utachoka kabisa
   
 9. Bill

  Bill JF-Expert Member

  #9
  Jan 16, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 4,161
  Likes Received: 1,249
  Trophy Points: 280
  Tatizo wanaandika wanawaza siasa tu.
   
 10. ZionTZ

  ZionTZ JF-Expert Member

  #10
  Jan 16, 2012
  Joined: Oct 6, 2009
  Messages: 1,276
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  majira kimeo sana, nasikia hawalipwi mshahara may be wanafanya makusudi...nimesoma wall ya mh zitto kabwe leo anawalalamikia wao tena angalia hapo chini..."Ona Watanzania na baadhi ya vyombo vya habari. CHADEMA imepata msiba mkubwa, imefiwa na Mwanachama, Mbunge, Mjumbe wa Kamati Kuu na Waziri Kivuli wa Kazi na Ajira. Lakini Gazeti la Majira linabeba habari ya kwanza 'Zimwi la kugombea Urais CHADEMA'! Hata staha ya msiba watu wanakosa. Nimeshangazwa sana na gazeti la Majira kuumbua zimwi lisilokuwepo. Sigombei Urais 2015. Nitamwunga mkono mgombea wa CHADEMA"
   
 11. Mkondakaiye

  Mkondakaiye JF-Expert Member

  #11
  Jan 16, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 839
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Majira ni gazeti la umbea, wamenunuliwa na magamba, wamebaki kuandika umbea kwa cdm, ndo maana wanashindwa hata kuedit
   
 12. Bishop Hiluka

  Bishop Hiluka Verified User

  #12
  Jan 16, 2012
  Joined: Aug 12, 2011
  Messages: 4,100
  Likes Received: 1,424
  Trophy Points: 280
  Duh, nimeitazama picha na kusoma caption,
  nahitaji kupata panadol na kupumzika, labda
  nikiamka nitaelewa...
   
 13. O-man

  O-man JF-Expert Member

  #13
  Jan 16, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 318
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Ingekua miaka 15 iliyopita nisingeshangaa. Lakini leo hii, kuwepo kwa kompyuta...napata wasiwasi hasa ukizingatia kila kitu kinafanyika ndani ya jengo moja. Ni tatizo la kufanya jazi kwa mazoea.
   
 14. T

  TUMY JF-Expert Member

  #14
  Jan 16, 2012
  Joined: Apr 22, 2009
  Messages: 706
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nimelipenda hilo gari hata PLATE number halina na maisha kama kawaida.Mrengo wa haya magazeti unajulikana
   
 15. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #15
  Jan 16, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 9,147
  Likes Received: 2,465
  Trophy Points: 280
  jana nimegundua uozo wa hili gazeti..badala ya kumuenzi mh.Regia lenyewe likaweka picha ya zitto,dr. Na mbowe yaani hovyo sana.
   
 16. b

  busar JF-Expert Member

  #16
  Jan 17, 2012
  Joined: Dec 22, 2011
  Messages: 501
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  Mie mbavu sina,,,duuu, kazi tunayo,,, hawa majira yao imeisha.....tehe.:tetetehe....jf tuendelee kuwahabarisha nini wananchi wanataka lkn mbona kuna madegree mengine ya mascom etc.? Hawawaajiri hawa?
   
Loading...