Mwenyewe nimebakiza gazeti la mwanaspoti, nimesitisha kununua magazeti yanayojiita ya 'serious', hakuna habari siku hizi zaidi ya zitto, hiyo habari imekuwa ni kichefuchefu sasa. Tuna vipaumbele vingi lakini waandishi hawa wamezamia kwa habari hiyo tu, nafikiri huu mda ndo hata na tanesco wanaweza kupandisha bei ya umeme bila kujadiliwa chochote maama sahizi media zote ni zitto, huu ni upunga, amkeni nyie wahariri