Magazeti ya Tanzania na Zitto

Toosweet

JF-Expert Member
May 27, 2012
2,141
1,982
Tangu Zito Kabwe afukuzwe uongozi wa CDM pamoja na wenzake Kitila na Mwigamba,hakuna habari mpya zinazoandikwa na media house nyingi zaidi ya habari za Zito.Yako magazeti ambayo sidhani kama hata yanafanya uchunguzi wa kina kuhusu sakata hili.Andikeni habari nyingine za maendeleo na za kufikirisha au mmelipwa?Wengi wamefukuzwa na vyama vyao lakini hakukuwa na kelele.Ngoma ikivuma sana.......................
 
maskini nchi yangu tunaangania kwa kukosa MAARIFA muandikeni na baadae mtamtusi
 
Tangu Zito Kabwe afukuzwe
uongozi wa CDM pamoja na wenzake Kitila na Mwigamba,hakuna habari mpya
zinazoandikwa na media house nyingi zaidi ya habari za Zito.Yako
magazeti ambayo sidhani kama hata yanafanya uchunguzi wa kina kuhusu
sakata hili.Andikeni habari nyingine za maendeleo na za kufikirisha au
mmelipwa?Wengi wamefukuzwa na vyama vyao lakini hakukuwa na kelele.Ngoma
ikivuma sana.......................

Hata za ZITTO nazo ni maendeleo
 
Mwenyewe nimebakiza gazeti la mwanaspoti, nimesitisha kununua magazeti yanayojiita ya 'serious', hakuna habari siku hizi zaidi ya zitto, hiyo habari imekuwa ni kichefuchefu sasa. Tuna vipaumbele vingi lakini waandishi hawa wamezamia kwa habari hiyo tu, nafikiri huu mda ndo hata na tanesco wanaweza kupandisha bei ya umeme bila kujadiliwa chochote maama sahizi media zote ni zitto, huu ni upunga, amkeni nyie wahariri
 
Waliokosea ni vingozi wa cdm sio media. Uongozi wa chadema haukutafakari madhara ya kumfukuza zito. Alipaswa afukuzwe baada ya chadema kuingia madarakani kama alivyofanyiwa field mashal john okelo kule zenj baada ya kufanikisha mapinduzi. Cdm wameshindwa kuelewa kuwa punda akimpiga teke mwenye mzigo adhabu yake sio kumkata mguu; jambo la msingi ni kuhakikisha mzigo unafika.
 
Kweli MWITA bahasha za kaki zinawasumbua,habari yenyewe imeanza kukosa mwelekeo.
 
Waliokosea ni vingozi wa cdm sio media. Uongozi wa chadema haukutafakari madhara ya kumfukuza zito. Alipaswa afukuzwe baada ya chadema kuingia madarakani kama alivyofanyiwa field mashal john okelo kule zenj baada ya kufanikisha mapinduzi. Cdm wameshindwa kuelewa kuwa punda akimpiga teke mwenye mzigo adhabu yake sio kumkata mguu; jambo la msingi ni kuhakikisha mzigo unafika.

Hakuna mwanachama anaweza kuwa mkubwa na muhimu zaidi ya CHADEMA kwani CHADEMA si mtu bali ni chama. Huwezi kulea mtu eti kusubiri uchaguzi kwa hali ilivyokuwa hata huo uchaguzi usingekwenda vizuri. Enzi za akina Okelo zimepita hizi ni zama za digitali kama lilivyo jina lako. Kwa kujenga heshima ndani ya chama, CHADEMA itakuwa imara zaidi kuliko kama ingeendelea kulea donda ndugu. Nikuulize swali, kipi kilianza kati ya huyo uliyemtaja na CHADEMA? Jibu utakalotoa linajibu kwanini kulikuwa na umuhimu wa kufanya haya yaliyofanywa, infact kwa mtazamo wangu mm haya yalipaswa kufanywa si chini ya miaka miwili nyuma huko.
 
Waliokosea ni vingozi wa cdm sio media. Uongozi wa chadema haukutafakari madhara ya kumfukuza zito. Alipaswa afukuzwe baada ya chadema kuingia madarakani kama alivyofanyiwa field mashal john okelo kule zenj baada ya kufanikisha mapinduzi. Cdm wameshindwa kuelewa kuwa punda akimpiga teke mwenye mzigo adhabu yake sio kumkata mguu; jambo la msingi ni kuhakikisha mzigo unafika.

Hana madhara yoyote huyo ni Mhalifu kama alivyo Kinana, kwa Tembo au Kapuya kwa Vibinti vyetu.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom