Magazeti Ya Kumhusu "Lowassa" Yaongoza Kwa Mauzo

mululu

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2014
Posts
756
Reaction score
408
Ili mradi tu pawepo jina LOWASSA au picha yake kwa mbele iwe kwa kumsifu au kumdadisi lazima hilo gazeti litanunuliwa sana, anatajirisha makampuni ya magazeti kwa sasa huyu kiumbe sio wa kawaida! huo ndio ukweli hupendi acha.. Safari Ya Mabadiliko Nje Ya Ccm Inaendelea
 
Huo ndio ukweli.... Na kuanzia tarehe 21.8.2015 kampeni zikianza Magufuli hatapata coverage kabisa kabisa. Hapo ndio Mkulu na Mama Salma watachanganyikiwa
 
Kura hazipigwi kwny ofisi za IPP media wala Habari Corporation. Jk 2010 alinyimwa Coverage kabisa kwn Magazeti binafsi na humu Jf alipata only 30 %kura zilivopigwa watu wakatunga wimbo wa kuibiwa kura japo leo wanaona Aibu ukiwakumbusha
 
Ili mradi tu pawepo jina LOWASSA au picha yake kwa mbele iwe kwa kumsifu au kumdadisi lazima hilo gazeti litanunuliwa sana, anatajirisha makampuni ya magazeti kwa sasa huyu kiumbe sio wa kawaida! huo ndio ukweli hupendi acha.. Safari Ya Mabadiliko Nje Ya Ccm Inaendelea

NEWZZ...UKAWA sasa ni vyama 6,hivi vyama viwili vimejiunga leo

Wakati vyama vinne vinavyounda UKAWA, vimempitisha Edward Lowassa kugombea urais, vyama vingine vya SAU na APPT-Maendeleo vimetangaza kumuunga mkono mgombea huyo katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25 mwaka huu.

Katibu Mkuu wa SAU, Ali Kaniki alisema chama hicho kimefikia uamuzi wa kuunga mkono umoja huo kutokana na nafasi kubwa iliyopo ya kushika dola. Kaniki alisema kwa sasa wana wanachama zaidi ya 500,000 nchi nzima, hivyo wanaamini kuwa na mchango katika harakati hizo.

Mwenyekiti wa APPT-Maendeleo, Peter Mziray alisema chama hicho kinaamini mabadiliko kupitia kambi ya upinzani, hivyo wameamua kuunga mkono UKAWA.

“Uchaguzi wa mwaka 2010, nilishika nafasi ya nne kwa kupata kura 96,000, lakini pia tuna madiwani watatu na wanachama wameongezeka kwa hivyo ninaamini mchango wetu utakuwa na nafasi kubwa UKAWA,”
Mwenyekiti wa UDP, Mkoa wa Dar es Salaam, Joackim Mwakitinga alisema chama hicho kitakuwa tayari kuunga mkono mgombea mmoja kutoka CCM au UKAWA.
“Nafasi ya urais hatutasimamisha mgombea ila tutaunga mkono kati ya vyama hivyo wakati wa kampeni.”
 
Bavicha wana viungo vyote isipokuwa ubongo
UKAWA sasa ni vyama 6,hivi vyama viwili vimejiunga leo

leo kuna mfanyabiashara kafungulia wimbo wa ccm ule wa tumethubutu tume weza tuna songa mbele nusu achomewe duka na wananchi .watu gafla waka jaaa makadilio kama 500hivi
 
Back
Top Bottom