Magazeti ya kimapinduzi tz | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Magazeti ya kimapinduzi tz

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Njowepo, Oct 14, 2010.

 1. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #1
  Oct 14, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Nikimaanisha Mwanahalisi na Raia Mwema.
  Jana nilibahatika kuwahoji baadhi ya wauza magazeti kuhusu magazeti gani huwa wanayauza sana.
  Wengi wao wakasema ikifika mida ya saa kumi jioni ni vigumu kuendelea kuwa na copy za hayo magazeti hayo kwenye meza za mauzo.
  Nikaangalia vichwa vya habari jana
  Raia mwema “Dk Slaa amnyima usingizi Kikwete”
  Mwanahalisi “Umaarufu wa JK feki”
  MY TAKE
  Naona watanzania wa sasa wanapenda kujua undani wa mambo mbalimbali ya nchi yao kwa kina na si kwa usanii na uwoga.
   
 2. mwankuga

  mwankuga JF-Expert Member

  #2
  Oct 14, 2010
  Joined: Aug 30, 2010
  Messages: 329
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  For sure,magazeti hayo ni ya ukweli sana,sio kama rai ambalo limegeuka gazeti la udaku
   
 3. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #3
  Oct 14, 2010
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Huwa sitaki kukosa magazeeti haya,kiukweli kama ni kuku "nakula nadi mifupa"
   
 4. doup

  doup JF-Expert Member

  #4
  Oct 14, 2010
  Joined: Feb 26, 2009
  Messages: 1,172
  Likes Received: 335
  Trophy Points: 180
  RAI! aibu tupu
   
 5. Isaac

  Isaac JF-Expert Member

  #5
  Oct 14, 2010
  Joined: Jan 4, 2009
  Messages: 627
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 45
  nyie huwa mnapata kopi? Nina wiki mbili sasa nakuta yameisha saa 7 ninapotoka kwa lunch.
   
 6. K

  King kingo JF-Expert Member

  #6
  Oct 14, 2010
  Joined: Sep 6, 2010
  Messages: 401
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Hayo sio magazeti ya udaku ndio maana huwa yanakwisha mapema, nadhani wabongo wamechoka na vijarida vya udaku
   
 7. M

  Mikomangwa Senior Member

  #7
  Oct 14, 2010
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 100
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwani vipi magazeti ya UHURU na MZALENDO, mbona sijawahi kuona mtu akiyanunua na kuyasoma? CCM inawanachama mil. 5 ina maana huwa hawasomi habari za chama chao?
   
 8. Gurudumu

  Gurudumu JF-Expert Member

  #8
  Oct 14, 2010
  Joined: Feb 5, 2008
  Messages: 2,350
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Mwananchi na Tanzania Daima pia yanauzika sana. kwa upande wa kiingereza the Citizen na This Day.
   
 9. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #9
  Oct 14, 2010
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 9,002
  Likes Received: 584
  Trophy Points: 280
  kila jumatano nadamka kuyawahi.
   
 10. The Dreamer

  The Dreamer JF-Expert Member

  #10
  Oct 14, 2010
  Joined: Feb 2, 2009
  Messages: 1,280
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kadi zao wote zimelipiwa na Manji. Wewe unashikishwa kadi tu! Na ada miaka 5 unalipiwa!

  Hapo hapo kila mtanzania analipishwa kodi inayowagharimia waandishi wa huo uchafu unaoitwa magazeti
   
Loading...