Magazeti ya Ijumaa adimu Moro!!

Akili Unazo!

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2009
Posts
3,930
Reaction score
4,937
Wakuu nina taarifa imenifikia muda wa dk mbili zilizopita kuwa Mh Suleiman Sadick ananunuwa magazeti yote ya Ijumaa kwa kuwa yameandika skendo yake ya Kumuita Amosi Makala kuwa ni malaya katika kikao chao kilichofanyika siku zilizopita na amelipandisha bei anayalangua kwa Tsh.500/= kila Gazeti badala ya Tshs 400/=
 
Nimewahi sikia hata kule songea kuna tajiri amewahi kufanya hivo, swali langu sheria inasemaje kuhusu haki ya kupata habari kwa wanajamii husika or its just a business!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…