CHA The GREAT
JF-Expert Member
- Nov 11, 2010
- 651
- 853
Hivi kweli shule za msingi kuna wanawake au watoto wa kike.
Je, nikisema magazeti mengine ni ya hovyo ntakuwa nakosea.
Je, nikisema magazeti mengine ni ya hovyo ntakuwa nakosea.
Anzisha na wewe gazeti lako kama linakukera!!Hivi kweli shule za msingi kuna wanawake au watoto wa kike.
Je, nikisema magazeti mengine ni ya hovyo ntakuwa nakosea.
View attachment 613956
ila kiukweli wamekosea, mhariri wa gazeti hilo sijui ana elimu gani,!Anzisha na wewe gazeti lako kama linakukera!!
Anzisha na wewe gazeti lako kama linakukera!!
Kwani ushasahau utafiti wa twaweza mkuu
HV nn maana ya hovyo???
Hahahaha,,,,asanteh mkuu'Hovyo' ni kitu kisichofaa, najua unataka kusema nimekosea... na badala yake neno unalofahamu wewe ni..'ovyo'.......Utachekwa, shauri yako.
Chama letu lina majitu ya ajabu!!!!Hata huu ujinga wa wazi kabisa nao unatetewa kama vile makenikia tusiyoyajua vzr?Partisanship distort mental abilityAnzisha na wewe gazeti lako kama linakukera!!
Angeandika wasichana wang'araHivi kweli shule za msingi kuna wanawake au watoto wa kike.
Je, nikisema magazeti mengine ni ya hovyo ntakuwa nakosea.
View attachment 613956
Uhuru hata kuchambia siwezi,Anzisha na wewe gazeti lako kama linakukera!!
Gazeti la chama hilo ambacho utafiti unasema kinaungwa mkono na watu wenye kiwango kidogo cha elimu
Watu wenyewe ndio HawaAnzisha na wewe gazeti lako kama linakukera!!