Magari yote Kaskazini ya Tanzania

Magari yote Kaskazini ya Tanzania

Kwani zamani unataka kunyonya maziwa ya mama ako si ulikua unasema mama taka NYONYO sasa Ziwa linaitwa NYONYO na kule ni KANDA YA ZIWA sasa kuna kosa nikisema KANDA YA NYONYO au niseme KANDA YA TITI???
Una uhakika kwa lugha yangu ziwa linaitwa nyonyo?
 
Nikiwa njiani kutokea Arusha Jana mpaka Leo tarehe 22 Dec nimeshuhudia kupishana na msururu wa magari binafsi mengi utafikiri wadudu wakisafiri, yote yanaonekana kutokea Dar, je watu wa kaskazini ndiyo wanaongoza kuwa na vyombo vya usafiri au Magari
Ndio maana mimi nimeamua zangu kupanda ndege nilijua tuu hapo njiani nikienda na v8 langu usumbufu
 
Misifa ya kijinga.

Wazaramo wenye dar yao wanawachora tu
Sio misifa mkubwa kwa mfano utakuta una familia ya ya watu 5 nabkuendelea ukienda pale ubungo terminal nauli kwa sasa 30 hadi 35 kwa mtu mmoja hapo ukipiga hesabu una ka vits au ist chako mafuta ya 80 au 90 moshi hiyoo unatoboa na kurudi ni hivyo hivyo sasa hapo kuna haja gani ya kupanda li marcopolo lao
 
Nikiwa njiani kutokea Arusha Jana mpaka Leo tarehe 22 Dec nimeshuhudia kupishana na msururu wa magari binafsi mengi utafikiri wadudu wakisafiri, yote yanaonekana kutokea Dar, je watu wa kaskazini ndiyo wanaongoza kuwa na vyombo vya usafiri au Magari
Ndyo
 
hakuna mzaramo Dar, wamesukumiwa Pwani.
wako Chole, Kazimzumbe nakuendelea
Ila historia haifutiki. Alafu hivi kwanini watu wa bara hawapendagi kusikia hili swala la Dar ina wenyewe?
 
Back
Top Bottom