Magari yasiyotumia mafuta mengi

Emma Mnyama

JF-Expert Member
Dec 26, 2017
201
183
Yafuatayo ni magari yenye unafuu katika suala la mafuta, bei na hata upatikanaji wa vipuri

1.Toyota Ist
2.Vits
3.Passo
 
Kwa kifupi ni hivi gari zenye 1490 CC hazitumii mafuta mengi engine hizo zipo kwenye IST,Raum,Ractis, Carina TI, Sienta etc Toyota wanachofanya ni kubadilisha body tu ila engine ni ile ile tu
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom