Kikwajuni One
JF-Expert Member
- Mar 18, 2013
- 14,703
- 7,907
Inasikitisha sana, kukuta gari, inazobeba wanafunzi, mda wote ziko mbio. Hii ni mbaya sana.Kama ajali iliyotokea Mtwara.
Vyombo husika, kila mkoa, kuandikwe namba maalumu ya simu, ili wananchi tukiona gari la shule, linavunja sheria, mwendo wa kasi, kujaza wanafunzi, nk tupige simu, kunakohusika, na kutaja jina la shule namba ya gari,na liko maeneo gani.
Ziko zinawashusha watoto, bila kuhakikisha usalama wao, wako wanaosimama, na kuwacha milango wazi, wanafunzi wanashuka hasa wadogo, kujisaidia, bila dereva kujuwa, hasa wadogo wa umri.