Yajue Magari yanayoongoza kwa ubovu duniani

Freelander ina tatizo gani coz kuna mtu nimeshamlipa nusu bado nusu ili nichukue kitu.

Anaiuza 12M mi nilimwambia achukue 10 akakubali ila anasema engine ndo inashida but kanambia kuwa inaweza patikana for less than 2M.
 
Mkuu hii unafanyia wapi service?

Hii gari ina engine 2. Ya Umeme na 1.8 ya Petrol (2zr-fxe)

Kwenye foleni inatumika engine ya umeme ambapo kuna battery kubwa nyuma ya kiti cha nyuma kwa ajili ya kuhifadhi umeme.

Foleni kama ni kubwa sana na AC Radio Na Taa zikiwa zinawaka engine ya 1.8 hujiwasha na kujizima ili kulinda battery kuisha chaji.

Ukiwa unatembea zaidi ya spidi 40 kwa saa, Engine ya Petrol hutumika.

Service:

Engine ya Petrol service yake ni kawaida. Unamwaga oil na kubadili filter. Fundi yoyote anafanya.

Engine ya Umeme haina service, japokuwa kuna siku ilikuja msg kwenye dashboard inasema Hybrid cool system faulty. Baada kufanya research nikaona ni pipe ya kupumua kwenye cooling system ya battery ilikuwa imeziba. Tukasafisha na ku reset .

Mpaka leo ngoma inadunda hiyo.
 
Pajero GDI
Unapozungumzia ubovu hapa unamaanisha nini,maana usiwe unanunua gari used ukitegemea litakuwa zima,hilo sahau,gari likishatembea zaidi ya km 80000 hasa gari ndogo jiandae kwa consequences,maana parts nyingi zinakuwa zimeanza kuchoka.
 
Kama ndio HV Tanzania hatuwezi kupata mtumba wa Gari. MTU anakaa na Gari miaka 20!!! Hongera kwa kutunza chombo
asante sana mkuuu ishu matunzo haswa body ukiliweks dawa chombo inaonekana kwemye ubora ilitoka kwenye TZJ haf leo chombo ina number A japo ina changamoto za hapa na pale....wazee weng wana kasumba kusema kitu cha kwanza huwa akipigw bei bora kukaa kama ukumbusho
 
asante sana mkuuu ishu matunzo haswa body ukiliweks dawa chombo inaonekana kwemye ubora ilitoka kwenye TZJ haf leo chombo ina number A japo ina changamoto za hapa na pale....wazee weng wana kasumba kusema kitu cha kwanza huwa akipigw bei bora kukaa kama ukumbusho
Hongera sana
 
Back
Top Bottom